TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA
Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa. Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziTreni ya mizigo yapata ajali eneo la Gulwe Wilaya ya Mpwawa,Dodoma
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMPezhUlGiKG7uH-CpTdtaBJwA8TPtmDWzfQNjR0tlQo5gqMUApDC9s0QBuRUgheoYYcjnh5VxUVo3kOQfsLvmmg/TRENI.jpg?width=650)
TRENI LA MIZIGO LAPATA AJALI DAR
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Treni iliyobeba tindikali yapata ajali
Queensland, Australia
Treni ya mizigo, iliyokuwa imebeba lita 200,000 za tindikali hatari ya Sulphuric Acid, usiku wa kuamkia leo Jumatatu imepata ajali nje kidogo ya Mji wa Julia Creek, Kaskazini Magharibi mwa Jimbo la Queensland nchini Australia na kuzua hali ya sintofahamu.
Picha ya treni hiyo iliyopigwa kutokea angani
Polisi walilazimika kufunga shughuli zote zilizokuwa zikiendelea kwenye eneo la kilometa 2 kuzunguka eneo la ajali, wakihofia wananchi wanaweza kupata madhara makubwa kwa...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA GULWE MPWAPWA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-2kx1r_deL3M/VRVF_KsqY4I/AAAAAAAARq0/E3ALjKJXons/s72-c/train_lory%2Bcolition.jpg)
AJALI YA ROLI KUGONGA TRENI ENEO LA KARUME JIJINI DAR LEO ASUBUHI
![](http://1.bp.blogspot.com/-2kx1r_deL3M/VRVF_KsqY4I/AAAAAAAARq0/E3ALjKJXons/s640/train_lory%2Bcolition.jpg)
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma
10 years ago
Dewji Blog26 May
JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Treni za mizigo kuanza kazi kwa nchi za EAC
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10