Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara 21,500 hawana maeneo Ilala

Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, imebaini kuwa wafanyabiashara 21,500 hawana maeneo ya kufanyia biashara na badala yake wanatumia hifadhi za barabara na maeneo mengine yasiyoruhusiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA

Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma. Ajali imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga. Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna majeruhi wala…

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya wafanyabiashara 2000 wapatiwa elimu ya kodi Ilala

Na Oliver NjunwaZoezi la kuelimisha walipakodi katika maeneo ya biashara zao (mlango kwa mlango) ambalo linafanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Mkoa wa kodi Ilala limeendela kwa mafanikio ambapo jumla ya wafanyabiashara 2,165 wamepatiwa elimu katika siku sita za zoezi hilo.Wafanyabiashara waliopatiwa elimu ni katika maeneo ya Tabata, Relini, Bima, Liwiti, Barakuda, Kimanga, Segerea, Kinyerezi, Kisiwani na Bonyokwa Mkoa wa Kodi wa Ilala.
Akizungumzia zoezi hilo Afisa Msimamizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji. Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO MKOA WA ILALA WAMEWAAGIZA WAFANYABIASHARA KUHAKIKI MIZANI YAO

 Mfanyabiashara mkazi wa Malapa Aisha Ally akifanya maalipo baada ya mizani yake kuhakikiwa na Afisa Vipimo Clement Costantino. Mkazi wa Buguruni Victor Kelei akihakiki mizani yake eneo la ofisi ya Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.Mafundi wakitengeneza au kurekebisha mizani yenye hitilafu Kata ya Buguruni Mtaa wa malapa.
WAKALA wa Vipimo mkoa wa Ilala  umewataka wafanyabiashara wanaoagiza ama kuuza mizani mipya kuhakikisha mizani hiyo imehakikiwa na Wakala wa Vipimo kwa mujibu wa sheria.
Wito...

 

11 years ago

Michuzi

WAENDESHA BODABODA, BAJAJI NA WAFANYABIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA WANYOOSHEWA KIDOLE,SASA KUKUMBWA NA OPARESHENI ENDELEVU YA KUWAONDOA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa na kuwachukulia hatua za kisheria wanaovunja sheria za jiji kwa kuendesha shughuli mbalimbali katika maeneo yasiyoruhusiwa. Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna (CP) Suleiman Kova akitoa ufafanuzi ameeleza kwa waandishi wa habari kuhusu wakazi wa jiji la Dar es salaam hususan...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WANNE JIJINI DAR WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU AU KULIPA FAINI YA 500,000/- KILA MMOJA

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV

MAHAKAMA ya Hakimu Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakazi wa Dar es Salaam kulipa faini ya shilingi  500,000 kila mmoja  ama kifungo cha miaka mitatu jela  kwa kosa la kukutwa na madini tofauti tofauti yenye uzito  gram 131 yenye thamani ya zaidi shilingi milioni 100  kinyume na sheria.

Wafanyabiashara hao Noah Mmasanga, Richard  Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo ambapo wamehukumiwa kulipa faini hiyo baada ya kufika makubaliano na Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani