WAENDESHA BODABODA, BAJAJI NA WAFANYABIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA WANYOOSHEWA KIDOLE,SASA KUKUMBWA NA OPARESHENI ENDELEVU YA KUWAONDOA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa na kuwachukulia hatua za kisheria wanaovunja sheria za jiji kwa kuendesha shughuli mbalimbali katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna (CP) Suleiman Kova akitoa ufafanuzi ameeleza kwa waandishi wa habari kuhusu wakazi wa jiji la Dar es salaam hususan...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Machangudoa Moro wanyooshewa kidole
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imewataka wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono katika eneo la Msamvu maarufu Itigi, kuacha mara moja.
Imeonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaokaidi amri hiyo kwa kuwa ni kinyume cha sheria.
Agizo hilo lilitolewa juzi na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo, ambapo alisema biashara hiyo ni haramu na kamwe haitaachwa iendelee.
“Nilifanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Itigi Msamvu. Eneo...
9 years ago
StarTV17 Aug
MASLAHI YA WAFANYAKAZI: Wamiliki vyombo vya habari Tanga wanyooshewa kidole
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa amewajia juu wamiliki wa vyombo vya habari kwa kushindwa kujali maslahi ya waandishi wa habari na hivyo kuwafanya kushindwa kufanya kazi yao kwa uweledi.
Mtasiwa ametoa kauli hiyo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa lengo la kuwasajili waandishi wa habari kwenye mfumo wa huduma za afya wa VIKOA.
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa kwa waandishi wa habari wa mkoa wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tI86ANTEaQA/XuDvGAa3OgI/AAAAAAALtYk/ZnyREOX6pRAEz0vI0WRcj1sx056E6rKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/bodaboda.jpg)
WAENDESHA BODABODA KINONDONI WAHIMIZWA KUFUATA SHERIA, WAKWAPUAJI SASA KUKIONA
WAENDESHA wa usafiri Bodaboda wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wametakiwa kufuata sheria katika kutoa huduma hiyo ya kubeba na kusafirisha abiria kutoka eneo moja kwenda jingine.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo amesema hayo wakati akizungumza na Michuzi Blog, ambapo amefafanua kuwa kuna kila sababu ya kuhakikisha waendesha bodaboda wanazingatia sheria kwani wale ambao watabainika kukiuka watachukuliwa hatua.
Hata hivyo amesema kwa sasa hali ya...
10 years ago
CloudsFM18 Dec
TATIZO LA OMBA OMBA NA WAMACHINGA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika mikoa wanayotoka kutokuzaa matunda na kuwa endelevu kufuatia wengi wao kurudi katika maeneo ya awali kila wanapoondolewa.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Mecki Sadiki wakati akifungua kikao cha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1CQgEjd27rA/VJF_C6jorUI/AAAAAAAG33Q/gy-he9VknLk/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
TATIZO LA WAMACHINGA NA OMBA OMBA MAENEO YASIYORUHUSIWA DAR KUTAFUTIWA DAWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-1CQgEjd27rA/VJF_C6jorUI/AAAAAAAG33Q/gy-he9VknLk/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
Na Aron Msigwa –MAELEZO.
Jiji la Dar es salaam linaangalia upya utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji la Dar es salaam kufuatia sheria na hatua zinazochukuliwa ikiwemo kuwarudisha ombaomba hao katika...
10 years ago
Michuzi22 Aug
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Sumatra: Bodaboda, bajaji marufuku ‘Simu 2000’
9 years ago
StarTV18 Dec
Waendesha Bajaji Dodoma wagoma madai ya faini za mara kwa mara
Wafanyabiashara wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji wa manispaa ya Dodoma wamesitisha kutoa huduma ya usafiri kwa zaidi ya saa nne wakipinga kutozwa faini za mara kwa mara na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA kwa madai kuwa wamekiuka agizo la mamlaka hiyo kwa kuegesha katika maeneo yasiyo rasmi.
Mgomo huo umekuja baada ya mamlaka hiyo kuzikamata Bajaji 12 za wafanyabiashara hao kwa kuegesha eneo lisilo husika wakitakiwa kulipa faini ya shilingi...