Waendesha Bajaji Dodoma wagoma madai ya faini za mara kwa mara
Wafanyabiashara wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama bajaji wa manispaa ya Dodoma wamesitisha kutoa huduma ya usafiri kwa zaidi ya saa nne wakipinga kutozwa faini za mara kwa mara na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA kwa madai kuwa wamekiuka agizo la mamlaka hiyo kwa kuegesha katika maeneo yasiyo rasmi.
Mgomo huo umekuja baada ya mamlaka hiyo kuzikamata Bajaji 12 za wafanyabiashara hao kwa kuegesha eneo lisilo husika wakitakiwa kulipa faini ya shilingi...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tsiZAHkOin0/VfhpxGyMqRI/AAAAAAAH5Eg/rSdPFad4r4M/s640/2.jpg)
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Kinachosababisha rangi ya mkojo, kwenda haja ndogo mara kwa mara
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Mabadiliko ya mara kwa mara ya Mitaala shule za Msingi inawachanganya wanafunzi.
![](http://www.fikrapevu.com/wp-content/uploads/2014/11/stationery-640x350.jpg)
Fikra Pevu
BAADHI ya Walimu wa Shule za Msingi katika jiji la Dar es Salaam wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule za msingi pamoja na idadi kubwa ya masomo kwa wanafunzi wa madarasa yote na kwamba yamekuwa yakiwachanganya wanafunzi na kuwafanya washindwe kumudu masomo yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na FikraPevu jijini humo Novemba 17, 2014 walimu hao wamesema mabadiliko ya mara kwa mara kwa mitaala yanayofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bila...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Fahamu kinachosababisha maumivu ya kichwa, harara, kiungulia mara kwa mara
10 years ago
Bongo Movies26 Mar
Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!
Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.
Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.
Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Tanesco yatoa sababu kukatika umeme mara kwa mara
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Mimba yamfanya Kim Kardashian kula mara kwa mara
NEW YORK, MAREKANI
MKE wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, Kim Kardashian, ameweka wazi kwamba anashindwa kula kwa mpangilio kwa kuwa huwa anahisi njaa mara kwa mara.
Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 35, anatarajia kupata mtoto wa pili, awali mrembo huyo alikuwa akifuata ratiba ya mlo kamili lakini kwa sasa imeshindikana.
“Kwa hatua niliyofikia kwa sasa nahisi mtoto nitakayejifungua atakuwa anakula sana kama ninavyokula mimi mara kwa mara bila kuwa na mpangilio wa chakula,”...
9 years ago
StarTV03 Dec
Ukamilishaji jengo la biashara Mutukula wachelewa kutokana na mvua za mara kwa mara
Ujenzi wa jengo la kisasa la biashara linalojengwa na shirika la Nyumba la Taifa katika mpaka wa Mutukula mkoani Kagera umechelewa kukamilika kutokana na mvua za mara kwa mara ambazo zimekuwa kikwazo katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa jengo hilo linalokadiriwa kugharimu kiasi cha shilingi bilioni tatu nukta nne tano hadi litakapokamilika.
Awali ujenzi wa jengo hilo ulipangwa kukamilika Desemba mwaka huu lakini kutokana na mvua za mara kwa mara, jengo hilo sasa linatarajiwa kukamilika...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vVBxhI4Mxm4/Uu89r9EFkPI/AAAAAAAFKiE/hkdnbLz68B0/s72-c/unnamed+(20).jpg)
WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA