Machangudoa Moro wanyooshewa kidole
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imewataka wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono katika eneo la Msamvu maarufu Itigi, kuacha mara moja.
Imeonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaokaidi amri hiyo kwa kuwa ni kinyume cha sheria.
Agizo hilo lilitolewa juzi na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo, ambapo alisema biashara hiyo ni haramu na kamwe haitaachwa iendelee.
“Nilifanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Itigi Msamvu. Eneo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV17 Aug
MASLAHI YA WAFANYAKAZI: Wamiliki vyombo vya habari Tanga wanyooshewa kidole
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa amewajia juu wamiliki wa vyombo vya habari kwa kushindwa kujali maslahi ya waandishi wa habari na hivyo kuwafanya kushindwa kufanya kazi yao kwa uweledi.
Mtasiwa ametoa kauli hiyo wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF kwa lengo la kuwasajili waandishi wa habari kwenye mfumo wa huduma za afya wa VIKOA.
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa kwa waandishi wa habari wa mkoa wa...
11 years ago
MichuziWAENDESHA BODABODA, BAJAJI NA WAFANYABIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA WANYOOSHEWA KIDOLE,SASA KUKUMBWA NA OPARESHENI ENDELEVU YA KUWAONDOA
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Kortini kwa tuhuma za kununua machangudoa
BETRIDA MWASAMBALILA NA FERDNANDA MBAMILA (DMCT)
WATU wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Jiji kwa tuhuma za machangudoa katika eneo la Buguruni Rozana jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao waolifikishwa jana katika mahakama hiyo ni Antidius Severian (25), Yaham Mihamed (24), Ally Hassan (35) na Mohamed Hamis (27).
Wakisomewa mashtaka na wakili wa Serikali, Ramadhan Kalinga mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Bernard Mpepo, alidai kuwa Februari 14, mwaka huu katika eneo la Buguruni Rozana...
9 years ago
Bongo510 Nov
Machangudoa wa Zimbabwe wakusanya mbegu za kiume na kuziuza kwa gharama kubwa

Wanaume wasio waaminifu walionywa mwaka jana nchini Zimbabwe kutoka miji ya Gwanda na Beitbridge iliyopo mpakani mwa Zimbabwe na Afrika ya Kusini.
Machangudoa kutoka miji hiyo hukusanya mbegu za kiume na kwenda kuziuza nchini Afrika ya Kusini. Inasadikika kuwa mbegu hizo zinakwenda kwa waganga wa kienyeji maarufu kama sangoma ili kutumika kwa mambo ya kishirikina.
Wengine wakihisi kwamba wanawake hao huuza mbegu hizo kati ya dola 25 hadi 30 kwa chupa ya milimeta 250 yaani robo lita....
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
11 years ago
BBCSwahili29 Aug
Obama ainyooshea kidole Urusi
9 years ago
StarTV09 Nov
Wafanyabishara Arusha wanyoshewa kidole
Wafanyabiashara wanaotoa huduma katika masoko wametakiwa kudumisha utaratibu wa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara pasipo kushurutishwa ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa wanazouza, ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.
Pia imeelezwa kuwa maeneo mengi ya masoko usafi wake hauridhishi kutokana na tabia ya baadhi ya wafanyabiashara kutokushiriki kikamilifu katika kufanya usafi.
wafanyabiashara wa soko kuu lililopo katikati ya jiji la Arusha pamoja na...
10 years ago
BBCSwahili20 May
Poroshenko amnyooshea kidole Putin
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Linah na Recho pete na kidole