Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linah na Recho pete na kidole

Kawaida imezoeleka kwamba wasanii wanaofanya muziki wa aina moja huwa hawapatani na mara nyingi hushindwa kuwa karibu kutokana na kunyang’anyana mashabiki, kugombea shoo au ubize unaowafanya washindwe kukutana mara kwa mara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LINAH & RECHO WAFANYA MAMBO YA AIBU KWEUPEE

Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’ wakilishana keki kwa mdomo.
Na MUSA MATEJA/ijumaawikienda Hamnazo? Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi. Tukio hilo la aibu lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda, lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa la...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabishara Arusha wanyoshewa kidole

Wafanyabiashara wanaotoa  huduma katika  masoko   wametakiwa kudumisha utaratibu  wa kufanya usafi katika maeneo yao ya biashara  pasipo kushurutishwa ili kulinda afya za watumiaji wa bidhaa wanazouza, ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.

Pia imeelezwa kuwa maeneo mengi ya masoko usafi wake hauridhishi kutokana na tabia ya baadhi ya  wafanyabiashara kutokushiriki kikamilifu katika kufanya usafi.

 wafanyabiashara wa soko kuu lililopo katikati ya jiji la Arusha  pamoja na...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Machangudoa Moro wanyooshewa kidole


NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imewataka wanawake wanaojihusisha na biashara ya ngono katika eneo la Msamvu  maarufu Itigi, kuacha mara moja.
Imeonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaokaidi amri hiyo kwa kuwa ni kinyume cha sheria.
Agizo hilo lilitolewa juzi na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo, ambapo alisema biashara hiyo ni haramu na kamwe haitaachwa iendelee.
“Nilifanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Itigi Msamvu.  Eneo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Poroshenko amnyooshea kidole Putin

Rais wa Ukraine Petro Poroshenko ameiambia BBC kuwa hamuamini kiongozi wa Urusi Vladimir Putin katika harakati za kuleta Amani Mashariki mwa Ukraine

 

9 years ago

BBCSwahili

Amnesty yainyooshea kidole Burundi

Shirika la Amnesty International,limeituhumu serikali ya Burundi kwa mauaji watu wasio na hatia na matumizi mabaya ya jeshi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama ainyooshea kidole Urusi

Rais Barack Obama wa Marekan amesema mapigano yanayoendelea nchini Ukraine Urusi inahusika.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa ainyooshea kidole NEC

5-1*Asema isipokuwa makini itavuruga uchaguzi

*Mbowe atoa elimu mpya kwa wapigakura

 

NA FREDY AZZAH, MAGU

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba kama haitakuwa makini, inaweza kuvuruga uchaguzi mkuu.

Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Sabasaba, mjini Magu...

 

10 years ago

StarTV

Watumishi wa afya waendelea kunyooshewa kidole.

Na Sudi Shaaban,

Mwanza.

Sekta ya afya nchini imetajwa kuwa chanzo kikubwa cha kuisabishia serikali lawama kutoka kwa wananchi kutokana na utendaji mbovu wa watumishi ambao umekuwa ukilalamikiwa kila kukicha bila kuchukuliwa hatua yeyote.

 

Pia sekta hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba pamoja na dawa jambo ambalo bado ni kilio kikubwa kwa serikali na wananchi.

 

Nia ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ni kuhakikisha mkoa unapiga hatua katika...

 

9 years ago

Habarileo

Mzindakaya awanyooshea kidole Lowassa, Sumaye

MWANASIASA mkongwe, Dk Chrisant Mzindakaya amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Ukawa Edward Lowassa, anasukumwa na kundi la watu wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupitia mgongoni mwake kwa manufaa yao binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani