LINAH & RECHO WAFANYA MAMBO YA AIBU KWEUPEE
![](http://api.ning.com:80/files/IdN5y1KxAWldIzl3zC1SU9AxaAQqHLyxO1--VLCFbJT-PFmAt6DDwawGsjmmAO2v6USgl*vIZtiuXFrvNwJ2f*47*SM3kEXU/1.jpg)
Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’ wakilishana keki kwa mdomo. Na MUSA MATEJA/ijumaawikienda Hamnazo? Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi. Tukio hilo la aibu lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda, lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Linah na Recho pete na kidole
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7fSVyjXLzVhGC70tKD*jwEQOp3Rp3Sc8PqINDQNWWPKD5IUO4L2JAPkfyBuwLzdCdoEQ-K*M-8JJnNyuFjqZcl1xWscr6Mjq/warembo.jpg?width=650)
WAREMBO WAFANYA SHINDANO LA AIBU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK5CNcwKvJcXrebGY5IZJ0BQVIRXFDeHSVZEthFQ6tONi3tYrtW2lAukGqyg9gpoaNm1-Fh2WBPVIC9hNTut*C9*/liungi.jpg)
PICHA ZA RECHO ZAMZUIA SAGUDA MAMBO YA MAPENZI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6W4eLlWJmhI/default.jpg)
10 years ago
GPL12 Mar
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYtKAv5fm*0qrkZMOeeWytS7VNa6fYnvsn7qRH-cNy7QO6aodnjlVEf6BivOI50rd-ZMe8BB1aMHkR-2vqt5JBiB/Mumez.jpg?width=650)
MUME WA MTU AFANYA MAMBO YA AIBU!
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-1B1lramsiHA/VUJqn2MmNmI/AAAAAAAABac/3mUbMScCSyA/s72-c/Young%2BKiller%2B-%2BMungu%2BBaba.jpg)
9 years ago
Bongo518 Nov
Hawa ni Watanzania wanowania ‘Style & Fashion Awards 2015’ za Uganda, Linah kutumbuiza
![linah Ug](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/linah-Ug-300x194.jpg)
Mastaa mbali mbali wa muziki, wabunifu wa mavazi na wana mitindo wa Tanzania wanawania tuzo za ‘Style & Fashion Awards 2015’ (ASFAs) za Uganda. Tuzo hizo zitatolewa December 12 kwenye hoteli ya Serena jijini Kampala, Uganda.
Muimbaji wa Ole Themba, Linah Sanga yuko kwenye orodha ya wasanii waliopangwa kutoa burudani kwenye tuzo hizo. Msanii mwingine atakayetoa burudani ni muimbaji wa RnB kutoka Nigeria Banky W.
Wanaoiwakilisha Tanzania kwenye tuzo ni hawa: