Lowassa ainyooshea kidole NEC
*Asema isipokuwa makini itavuruga uchaguzi
*Mbowe atoa elimu mpya kwa wapigakura
NA FREDY AZZAH, MAGU
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba kama haitakuwa makini, inaweza kuvuruga uchaguzi mkuu.
Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Sabasaba, mjini Magu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
Obama ainyooshea kidole Urusi
9 years ago
Habarileo16 Oct
Mzindakaya awanyooshea kidole Lowassa, Sumaye
MWANASIASA mkongwe, Dk Chrisant Mzindakaya amesema mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Ukawa Edward Lowassa, anasukumwa na kundi la watu wenye uchu na uroho wa madaraka kwa kupitia mgongoni mwake kwa manufaa yao binafsi.
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Nec yamjibu Lowassa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Jaji-28Oct2015.jpg)
Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva (pichani), alitoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam jana baada ya kutangaza matokeo ya urais katika majimbo 35.
Jaji Lubuva alisema madai yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wanatangaza matokeo ya maeneo ambayo Chama Cha Mapinduzi kimeshinda ili kuaminisha umma kuwa ni...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Aug
NEC;Lowassa Ruhsa Jangwani
Time ya uchaguzi ya Tanzania imeruhusu UKAWA kutumia viwanja vya jangwani kupinga amri ya manispaa ya ilala kuzuia uwanja huo. HABARI ZAIDI zitafuata
The post NEC;Lowassa Ruhsa Jangwani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo09 Sep
NEC sasa yamuonya Lowassa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe hakikubaliki.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JqVx40AQmF8KgKXi2ZE4vSO1RUoB-s9R3CUyloRLrKFQJNCu-m3xg-MDssKTQ5GICpZAgJ0qVOp5ilWOZvtca*4/lowassa.jpg)
LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Lowassa kwenda NEC kupitia CUF
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/8ZkyxNsuQ5M/default.jpg)
9 years ago
TheCitizen16 Oct
Tread carefully,Lowassa tells NEC