Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI WA AFYA WAASWA KUTOSHIRIKI KWENYE UHALIFU WA KUHARIBU USHAHIDI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza jambo na watumishi wa afya (hawapo pichani) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Watumishi wa afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa kwenye kikao na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (hayupo pichani) alipofanya ziara katika Hospitali hiyo.

Na Englibert Kayombo, WAMJW – Moshi Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA AFYA WAASWA KUTOSHIRIKI UHALIFU WA KUHARIBU USHAHIDI


Na Englibert Kayombo, WAMJW – Moshi Kilimanjaro.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa watumishi wa afya kutoshiriki kwenye makosa ya uhalifu kwa kuharibu ushahidi wa makosa ya jinai pindi wanapofanya uchunguzi wa kitaalam.

Dkt. Ndugulile ametoa kauli hiyo alipokuwa ziarani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Mawenzi) akizungumza na watumishi wa afya hospitalini hapo.

“Katika kosa ambalo hatutamsamehe mtumishi wa afya ni...

 

10 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU

Kaimu Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Jasper Mero (Mbele) akiingia katika ukumbi wa Kings way kufungua mafunzo ya awali (Induction course) kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yanayofanyika katika Hoteli ya Kings Way Mkoani Morogoro.Mkurugenzi Msadizi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Bibi Eliaika Manyanga (Kulia) akizungumza na waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo katika mafunzo ya awali (Induction course) yanayofanyika katika Hoteli...

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji kijinsia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Fanuel Mbonde akifungua mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkufunzi wa Masuala ya Jinsia na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani (TAWJA) Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akiongea wakati wa mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria jijini Dar es Salaam mwishoni mwaka wiki. Mkufunzi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watumishi Sheria waaswa kupinga unyanyasaji wa kijinsia

Jinsia 1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg. Fanuel Mbonde akifungua mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 

Jinsia 2

Mkufunzi wa Masuala ya Jinsia na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani  (TAWJA) Jaji Mstaafu Eusebia Munuo akiongea wakati wa mafunzo kuhusu uzingatiwaji na uelewa wa masuala ya jinsia kwa watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria jijini Dar es Salaam mwishoni mwaka wiki.

Jinsia 4

Mkufunzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA

 .Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya  akikata utepe Ikiwa ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wameaswa kuendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutimiza malengo ambayo Wizara imejiwekea.
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi.  Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mrimia Mchomvu (aliyesimama), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wapya wa Wizara hiyo (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa Mafunzo Elekezi uliofanyika Jumatatu - Machi 23, 2015, katika Ukumbi wa Elimu ya Watu Wazima – Dar es Salaam. Mkurugenzi Mchomvu alifungua rasmi mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Ngosi Mwihava.
Mmojawapo wa Washiriki wa Mafunzo Elekezi kutoka Wizara ya Nishati na...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali mipakani waaswa kutoisaliti nchi yao kujiepusha na ugonjwa wa Corona.








Bandari ya Kabwe, Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Kikosi cha Ulinzi na Usalama Mkoa akitoa maelekezo baada ya kuiona nyumba itakayotumika kwaajili ya kuhifadhi wageni kwa siku 14 katika bandari ya Kabwe.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (katikati) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kushoto) pamoja na msimamizi wa Bandari ya Kabwe Mohamed Issa (Kulia) na wengineo wakati wakiingia katika lango kuu la bandari hiyo...

 

5 years ago

CCM Blog

WAASWA WATUMISHI WA SERIKALI MIPAKANI KUTOISALITI NCHI YAO KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA CORONA

Katika hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za mkoa huo pamoja na mpaka wa nchi kavu kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wageni hasa katika kipindi hiki ambacho ni hatari kwa nchi.
Mh. Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwani kuwapitisha wageni hao kwa kutumia rushwa kutasababisha nchi itaingia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani