Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: CHADEMA wanatumia UKAWA kuficha migogoro


Na Bashir Nkoromo
KATIBU wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amefichua siri ya viongozi wa juu wa CHADEMA kujificha nyuma ya kivuli cha Kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Amesema CHADEMA kinakabiliwa na migogoro mizito inayotokana na uchu wa madaraka na kwamba hatua ya kukumbatia UKAWA ni kuwapumbaza wanachama wake.
Alisema sio kweli kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wana nia na dhamira ya dhati ya muungano huo ili kusaidia...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo

Wakati mzozo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukishika kasi katika maeneo mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo ni mambo madogo na umoja bado uko imara.

 

11 years ago

Habarileo

'Migogoro Chadema ishara ya utawala mbovu'

MIGOGORO inayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imedaiwa kuwa ni ishara ya utawala mbovu, unaotokana na udikteta, udini na ukabila vinavyosababisha chama kukosa kuaminiwa na wananchi.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Nape: UKAWA inafanya uzushi



Asema Tume ya Katiba haikuwa ya mwisho Awataja pia Mbowe, Tundu Lissu na Jussa
Na Charles Charles
 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaka wananchi kujihadhari na uzushi, uongo na upotoshaji unaofanywa na genge linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kutaka mchakato wa Katiba mpya ukwame.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema genge hilo linafanya hivyo kutokana na uchu wa madaraka walionao viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nape abeza Ukawa kuungana

Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo kikisema viongozi hao hawawezi kukaa zizi moja.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Nape awarushia kombora UKAWA



NA MWANDISHI WETUMCHAKATO wa Katiba Mpya umeendelea kutumika kama kichaka cha kuzuia vuguvugu la mabadiliko katika vyama vya upinzani nchini. Vyama vingi vya upinzani vikiwemo vinavyojinadi kuwa ndio vikubwa, vimekuwa kwenye migogoro mikubwa inayotokana na ubaguzi, matumizi mabaya ya madaraka na kugombea ruzuku. Pia vyama vingine ikiwemo CHADEMA ambacho kimegubikwa na migogoro mizito ikiwemo ya kuwania madaraka na ufujaji wa fedha za ruzuku, huku baadhi ya viongozi wake wakitimuliwa na...

 

9 years ago

TheCitizen

‘Rifts in Ukawa’ has simplified things for us : Nape

CCM ldeology and Publicity Secretary Nape Nnauye has said the opposition will be badly defeated and even wiped out in Lindi Region after the October 25 polls.

 

10 years ago

Mwananchi

Nape: Makosa ya CCM yameinufaisha Ukawa

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kilifanya makosa katika baadhi ya maeneo ambayo yamekigharimu na kusababisha wananchi kupiga kura za hasira kukiadhibu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Nape awapongeza Ukawa kuikubali Katiba

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM , Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kwa kuikubali na kuitambua Katiba inayopendekezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Nape awajia juu wanaoshabikia Ukawa

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema watanzania wachache wanaoendelea kuwaunga mkono wanaharakati wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanapoteza muda wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani