Nape awapongeza Ukawa kuikubali Katiba
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM , Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kwa kuikubali na kuitambua Katiba inayopendekezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Aug
Nape awapongeza Dk. Slaa, Lipumba
NA EVANS MAGEGE
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, amewafananisha viongozi waliokihama chama hicho na oili chafu.
Pia aliwapongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu ‘aliyepumzishwa’ wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kuwa wamejitambua kisiasa kwa kujitenga na oili hiyo inayomiminwa ndani ya injini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Askofu Mwamalanga awapongeza UKAWA
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste Tanzania, William Mwamalanga, amewapongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa kuondoka bungeni huku akisema wajumbe walibaki wanaendesha ‘bunge la...
10 years ago
Uhuru NewspaperNape awarushia kombora UKAWA
NA MWANDISHI WETUMCHAKATO wa Katiba Mpya umeendelea kutumika kama kichaka cha kuzuia vuguvugu la mabadiliko katika vyama vya upinzani nchini.
11 years ago
Mwananchi29 Apr
Nape abeza Ukawa kuungana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-GpYkN3Titjg/U84AubOpSdI/AAAAAAAABZ4/gvMy_LeS2No/s72-c/1.+Nape+akihutubia+mkutano+wa+kampeni+a+uchaguzi+mdogo+wa+Udiwani+Kata+ya+Bugarama,+Kahama+mkoani+Shinyanga.jpg)
Nape: UKAWA inafanya uzushi
Asema Tume ya Katiba haikuwa ya mwisho Awataja pia Mbowe, Tundu Lissu na Jussa
Na Charles Charles
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaka wananchi kujihadhari na uzushi, uongo na upotoshaji unaofanywa na genge linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kutaka mchakato wa Katiba mpya ukwame.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema genge hilo linafanya hivyo kutokana na uchu wa madaraka walionao viongozi...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
Pongezi JK kuikubali Mahakama ya ICC
10 years ago
Habarileo26 Nov
Nape awajia juu wanaoshabikia Ukawa
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema watanzania wachache wanaoendelea kuwaunga mkono wanaharakati wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanapoteza muda wao.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Nape: Makosa ya CCM yameinufaisha Ukawa
9 years ago
TheCitizen14 Sep
‘Rifts in Ukawa’ has simplified things for us : Nape