Nape awapongeza Dk. Slaa, Lipumba
NA EVANS MAGEGE
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, amewafananisha viongozi waliokihama chama hicho na oili chafu.
Pia aliwapongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu ‘aliyepumzishwa’ wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kuwa wamejitambua kisiasa kwa kujitenga na oili hiyo inayomiminwa ndani ya injini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Akizungumza na waandishi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Oct
Nape awapongeza Ukawa kuikubali Katiba
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM , Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unaoundwa na vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, kwa kuikubali na kuitambua Katiba inayopendekezwa.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Nape amponda Dk. Slaa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kitazungumzia mambo mbalimbali yaliyojadiliwa kwenye Kamati Kuu ya CCM likiwamo suala la mgombea urais kupitia chama hicho. Hivi karibuni baadhi ya wanachama wa chama hicho kwa nyakati tofauti wameweka hadharani nia ya kuwania nafasi ya urais ndani ya CCM.
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Profesa Lipumba, Dk. Slaa hamjatutendea haki
WAKATI mwingine ni wanasiasa wenyewe wanaosababisha raia wa kawaida kuuamini msemo uliopo mitaani kuwa ‘siasa ni mchezo mchafu’.
Msemo huu wa kawaida kabisa mitaani umesababisha hata mtu akizungumza porojo tu watu hudai kwamba eti; ‘hizo ni siasa tu.’
Kwa hiyo sasa siasa kwa lugha nyingine ya mtaani ni ‘usanii’ tu, kitu ambacho si kweli hata kidogo.
Wasomi wa ‘sayansi ya siasa’ (sina hakika kama ndio tafsiri halisi ya ‘political science’), hudai kuwa siasa ni sayansi ya jamii...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Kiujiuzulu kwa Prof. Lipumba na sintofahamu ya Dk. Slaa
MAKALA hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika gazeti hili katika toleo la wiki iliyopita.
Evarist Chahali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qUZbsOiEeqmu-hN-GmA821ZQBeoaPfyTBPHun2X88iXsHaoApcbAJavjHA--zktX2ZVURjoDoN2GoxVQwA*PmXCPf-kdTlGT/lipumba3.jpg?width=650)
CCM: KUJITOA SLAA, LIPUMBA UKAWA WATANYOOKA TU!
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Slaa na sasa Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?
“KWANGU mimi kuingia Ikulu ni tunda la lengo kuu ambalo ni kurudisha maadili ndani ya nchi hii.
Johnson Mbwambo
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Prof Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa