Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape amponda Dk. Slaa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kitazungumzia mambo mbalimbali yaliyojadiliwa kwenye Kamati Kuu ya CCM likiwamo suala la mgombea urais kupitia chama hicho. Hivi karibuni baadhi ya wanachama wa chama hicho kwa nyakati tofauti wameweka hadharani nia ya kuwania nafasi ya urais ndani ya CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Nape awapongeza Dk. Slaa, Lipumba

napeNA EVANS MAGEGE

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, amewafananisha viongozi waliokihama chama hicho na oili chafu.

Pia aliwapongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu ‘aliyepumzishwa’ wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kuwa wamejitambua kisiasa kwa kujitenga na oili hiyo inayomiminwa ndani ya injini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa

Wananchi wa Kijiji cha Msisi katika Tarafa ya Mundemu, juzi walizuia kwa mabango msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapiduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakilalamikia shule yao kutelekezwa tangu 2011.

 

11 years ago

Habarileo

Ngeleja amponda Mbowe

MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja amesema Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe hakutenda haki kuzungumzia masuala ya Bunge la Katiba katika Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano Tanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Abwao amponda Mchungaji Msigwa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Chiku Abwao amesema heri ya miaka mitano ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Monica Mbega wa CCM kuliko miaka mitano ya Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema.

 

10 years ago

CloudsFM

Snura amponda Nuh Mziwanda

Staa wa muziki nchini Tanzania Snura aamua kumpa makavu mchumba wa Shilole Nuh Mziwanda na kumuonya asiwe anaingilia bifu za wanawake kwani hazimuhusuSnura alikasilishwa na kauli za Nuh Mziwanda kusema hawezi kumfikia mchumba wake Shilole labda ashindane na kina Pam Dafa kwasababu shilole kafika mbali kimuziki na hampati hata kidogo Snura akamuua kumwambia Nuh asiwe anafatilia mambo ya wanawake hayamuhusu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge CCM amponda rais

BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameipinga hotuba ya Rais Kikwete kwa madai kuwa imejaa vitisho na kujibu hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fella amponda Ostaz Juma Namusoma

MENEJA mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini ‘Bongo Fleva,’ Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amemponda Meneja na mmiliki wa ‘lebo’ ya Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma, kwa kitendo cha kupigiwa magoti...

 

11 years ago

Mwananchi

Lwakatare aibuka, amponda Nchemba wa CCM

Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare, amemwelezea Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kuwa mmoja wa watu wasiojua mahesabu kutokana na kauli yake kwamba chama hicho kinatumia fedha za ufisadi kuruka anga kwa anga.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Jaguar amponda Iyanya, ‘I don’t pick his phone’

Pamoja na kumshirikisha kwenye remix yake ya One Centimeter, Jaguar haziivi tena na Iyanya. Akiongea kwenye tuzo za Bingwa zilizotolewa jana jijini Nairobi ambapo alishinda tuzo ya video bora ya mwaka, Jaguar alisema Iyanya alimpa masharti kuwa kama anataka washoot video hiyo ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na wawatumie waongozaji wa Nigeria, Clarence Peter […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani