Video: Jaguar amponda Iyanya, ‘I don’t pick his phone’
Pamoja na kumshirikisha kwenye remix yake ya One Centimeter, Jaguar haziivi tena na Iyanya. Akiongea kwenye tuzo za Bingwa zilizotolewa jana jijini Nairobi ambapo alishinda tuzo ya video bora ya mwaka, Jaguar alisema Iyanya alimpa masharti kuwa kama anataka washoot video hiyo ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na wawatumie waongozaji wa Nigeria, Clarence Peter […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Jaguar Amponda Iyanya " Hata akinipigia sasa hivi Sipokei simu yake "
![](http://api.ning.com/files/BKB8rO763wEqsQjLFvpJsQ0-GF7rcfDTJaAdY758PnLEmNG4se9Kkm8XsRn3KoonjLuhz7yju1VIO0tz7zCWqna2yVXSGb-E/IyanyaJangua.jpg)
10 years ago
Bongo503 Feb
Iyanya amponda Jaguar amuita ‘mshari na mjivuni’, amsifia Diamond na Sauti Sol
10 years ago
GPL25 Nov
10 years ago
Bongo513 Nov
Jaguar afanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video
10 years ago
Bongo521 Nov
New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)
10 years ago
TheCitizen26 Jan
WAMBUGU: Don’t use your phone while charging...and other myths
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music Video: Jaguar — One Centimeter
9 years ago
Bongo522 Nov
Video: Zikki Ft Jaguar – Take it Slow
![Jaguar-and-zikki](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Jaguar-and-zikki-300x194.jpg)
Msanii kutoka Kenya anaitwa Zikki ameachia video mpya wimbo unaitwa “Take it Slow”, Amemshirikisha Jaguar. Video imeongozwa na Enos Olik.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!