Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Zikki Ft Jaguar – Take it Slow

Jaguar-and-zikki

Msanii kutoka Kenya anaitwa Zikki ameachia video mpya wimbo unaitwa “Take it Slow”, Amemshirikisha Jaguar. Video imeongozwa na Enos Olik.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Jaguar — One Centimeter

Jaguar wa Kenya hatimaye ameachia video yake mpya ‘One Centimeter’, aliyo shoot nchini Afrika ya Kusini na kuongozwa na Sugarcane Communications. Itazame hapa

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Jaguar — Huu Mwaka

Jaguar ametoa kazi mpya kwa mwaka 2015, ni video ya wimbo wake ‘Huu Mwaka’ iliyoongozwa na Godfather. Wimbo unazungumzia mtu masikini ambaye ameweka malengo ya kupata maisha mazuri mwaka huu. kwenye video hiyo Jaguar ameigiza kama mtu masikini anayeishi kijijini,na baadaye anaamua kwenda mjini kutafuta kazi za ndani kwa tajiri wa kizungu. Mwisho wa Video […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Jaguar amponda Iyanya, ‘I don’t pick his phone’

Pamoja na kumshirikisha kwenye remix yake ya One Centimeter, Jaguar haziivi tena na Iyanya. Akiongea kwenye tuzo za Bingwa zilizotolewa jana jijini Nairobi ambapo alishinda tuzo ya video bora ya mwaka, Jaguar alisema Iyanya alimpa masharti kuwa kama anataka washoot video hiyo ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na wawatumie waongozaji wa Nigeria, Clarence Peter […]

 

10 years ago

Bongo5

Jaguar afanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video

Baada ya Sauti Sol kumshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya kwenye remix ya hit single yao ‘Sura yako’, staa mwingine wa Kenya naye amemshirikisha Iyanya kwenye remix ya wimbo wake. Jaguar amempa shavu Iyanya kwenye remix ya single yake ya ‘One Centimeter’ ambayo wameshoot na video. Kupitia Instagram Iyanya ameshare picha akiwa na Jaguar na kuandika, […]

 

10 years ago

BBC

VIDEO: 'Ebola funds slow to reach needy'

A report by the British Medical Journal says just over $1bn of $3bn pledged to fight the Ebola outbreak has reached affected countries.

 

9 years ago

BBC

VIDEO: Slow wait for Guinea election results

The people of Guinea could face a long wait to find out who their new president is, with results not expected to be announced until Sunday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani