New Music Video: Jaguar — Huu Mwaka
Jaguar ametoa kazi mpya kwa mwaka 2015, ni video ya wimbo wake ‘Huu Mwaka’ iliyoongozwa na Godfather. Wimbo unazungumzia mtu masikini ambaye ameweka malengo ya kupata maisha mazuri mwaka huu. kwenye video hiyo Jaguar ameigiza kama mtu masikini anayeishi kijijini,na baadaye anaamua kwenda mjini kutafuta kazi za ndani kwa tajiri wa kizungu. Mwisho wa Video […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music Video: Jaguar — One Centimeter
9 years ago
MichuziPAPA WEMBA KUTUMBUIZA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL NOVEMBA 6-8 MWAKA HUU
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu
Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah
MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Jaguar — One Centimeter
9 years ago
Bongo506 Jan
Amini kuachia nyimbo 24 na video 24 mwaka huu
![amini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/amini-300x194.jpg)
Msanii wa muziki, Amini ameweka wazi mipango yake mipya ya mwaka huu kwenye muziki wake.
Miongoni mwa mambo ambayo amepanga kuyabadilisha kwenye utaratibu wake wa kufanya muziki ni kuongeza idadi ya nyimbo ambazo huachia kwa mwaka mzima.
“Plan zangu za kwa 2016 ziko tofauti kidogo na 2015, kwasababu 2015 nilikuwa natoa nyimbo kwa kusikilizia labda wimbo mmoja unaweza ukakaa mwaka mzima.” Alisema Amini kwenye mahojiano na Bongo5.
“Lakini kwa 2016 kila mwezi nitakuwa natoa nyimbo mbili kila...
10 years ago
Bongo521 Nov
New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)
10 years ago
GPL25 Nov
9 years ago
Bongo510 Nov
Diamond: Nyimbo na Video ninazoenda kuachia mwaka huu zitakuwa ni historia hadi siku ntapozikwa!
Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.
Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.
Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki...