Jaguar afanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video
Baada ya Sauti Sol kumshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya kwenye remix ya hit single yao ‘Sura yako’, staa mwingine wa Kenya naye amemshirikisha Iyanya kwenye remix ya wimbo wake. Jaguar amempa shavu Iyanya kwenye remix ya single yake ya ‘One Centimeter’ ambayo wameshoot na video. Kupitia Instagram Iyanya ameshare picha akiwa na Jaguar na kuandika, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL25 Nov
10 years ago
Bongo521 Nov
New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)
Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo ‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini Afrika Kusini.
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music Video: Jaguar — One Centimeter
Jaguar wa Kenya hatimaye ameachia video yake mpya ‘One Centimeter’, aliyo shoot nchini Afrika ya Kusini na kuongozwa na Sugarcane Communications. Itazame hapa
10 years ago
GPL26 Aug
10 years ago
Bongo511 Jan
Video: Jaguar amponda Iyanya, ‘I don’t pick his phone’
Pamoja na kumshirikisha kwenye remix yake ya One Centimeter, Jaguar haziivi tena na Iyanya. Akiongea kwenye tuzo za Bingwa zilizotolewa jana jijini Nairobi ambapo alishinda tuzo ya video bora ya mwaka, Jaguar alisema Iyanya alimpa masharti kuwa kama anataka washoot video hiyo ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na wawatumie waongozaji wa Nigeria, Clarence Peter […]
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Jaguar — One Centimeter
Baada ya kioo, muimbaji wa Kenya, Jaguar, anaachia ngoma yake mpya iitwayo ‘One Centimeter. Ni ngoma ya mapenzi iliyotayarishwa katika studio za Main Switch.
10 years ago
Bongo524 Oct
Video: Sauti Sol wamuimbisha Iyanya Kiswahili (Sura Yako Remix)
Wakiwa wametoka kutajwa ‘Best African Act’ wa MTV EMA, Sauti Sol wameachia remix ya wimbo wake ‘Sura Yako’ waliyomshirikisha msanii wa Nigeria, Iyanya. Utamsikia Iyanya akiimba Kiswahili kwenye sehemu ya verse yake.
10 years ago
Bongo515 Jul
Video: Sefiya Ft. Iyanya — Nwayo Nwayo (Remix)
Video mpya ya msanii kutoka Nigeria Mwanadada Sefiya akimshirikisha Iyanya wimbo unaitwa “Nwayo Nwayo (Remix)” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Jaguar Amponda Iyanya " Hata akinipigia sasa hivi Sipokei simu yake "
![](http://api.ning.com/files/BKB8rO763wEqsQjLFvpJsQ0-GF7rcfDTJaAdY758PnLEmNG4se9Kkm8XsRn3KoonjLuhz7yju1VIO0tz7zCWqna2yVXSGb-E/IyanyaJangua.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania