Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Sefiya Ft. Iyanya — Nwayo Nwayo (Remix)

Video mpya ya msanii kutoka Nigeria Mwanadada Sefiya akimshirikisha Iyanya wimbo unaitwa “Nwayo Nwayo (Remix)” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Jaguar afanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video

Baada ya Sauti Sol kumshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya kwenye remix ya hit single yao ‘Sura yako’, staa mwingine wa Kenya naye amemshirikisha Iyanya kwenye remix ya wimbo wake. Jaguar amempa shavu Iyanya kwenye remix ya single yake ya ‘One Centimeter’ ambayo wameshoot na video. Kupitia Instagram Iyanya ameshare picha akiwa na Jaguar na kuandika, […]

 

10 years ago

Bongo5

Video: Sauti Sol wamuimbisha Iyanya Kiswahili (Sura Yako Remix)

Wakiwa wametoka kutajwa ‘Best African Act’ wa MTV EMA, Sauti Sol wameachia remix ya wimbo wake ‘Sura Yako’ waliyomshirikisha msanii wa Nigeria, Iyanya. Utamsikia Iyanya akiimba Kiswahili kwenye sehemu ya verse yake.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)

Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo ‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini Afrika Kusini.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Seyi Shay Feat. Banky W & Iyanya – Right Now Remix

Mwanaadada Seyi Shay kutoka Nigeria ameachia Rmx ya single yake “Right now” amewashirikisha wakali wengine wa muziki Iyanya na Banky W. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: IYANYA ft. Diamond Platnumz - Nakupenda [Official Video]


Artist: Iyanya(Nigeria) and Diamond Platinumz(Tanzania)  Song: "Nakupenda".  Directed by Patrick Ellis

 

10 years ago

Bongo5

Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS

Iyanya ameonjesha kipande cha video mpya ya wimbo wake ‘Mr Oreo’ aliyoshoot nchini Marekani hivi karibuni. Video hiyo anatarajia kuitoa rasmi leo.Tazama kionjo Tazama behind the scenes

 

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: Abizzy Ft Davido - Sugar Remix (Official Video)


Abizzy Ft Davido - FreeTown4Ever Entertainment Drop the remix video of Abizzy's hit single "Suga" Featuring davido. Produced by Nashito Kulala, mixed and mastered by Giggz and Directed by Dang Films.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani