Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaguar Amponda Iyanya " Hata akinipigia sasa hivi Sipokei simu yake "

Urafiki wa Jaguar na Iyanya mpaka kufanay Rmx ya "one centimeter" umeisha ndani ya muda mfupi.Wakati akipokea Tuzo ya video bora ya mwaka ya Bingwa Awards ,Jaguar alifunguka kuwa Iyanya alimpa masharti kama anataka kufanya video ya wimbo huo basi ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na watumie waongozaji wa video wa Naija kama clarence peter au Moe Musa,Jaguar anadai aliamua kwenda Naija na Muongozaji wake lakini Iyanya alitaka kugoma lakini baada e alibadilisha mawazo.Baada ya video...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Video: Jaguar amponda Iyanya, ‘I don’t pick his phone’

Pamoja na kumshirikisha kwenye remix yake ya One Centimeter, Jaguar haziivi tena na Iyanya. Akiongea kwenye tuzo za Bingwa zilizotolewa jana jijini Nairobi ambapo alishinda tuzo ya video bora ya mwaka, Jaguar alisema Iyanya alimpa masharti kuwa kama anataka washoot video hiyo ni lazima waende Nigeria ama Uingereza na wawatumie waongozaji wa Nigeria, Clarence Peter […]

 

10 years ago

Bongo5

Iyanya amponda Jaguar amuita ‘mshari na mjivuni’, amsifia Diamond na Sauti Sol

Muimbaji wa Nigeria, Iyanya ameamua kujibu tuhuma alizotupiwa na msanii wa Kenya, Jaguar kuwa hakumpa ushirikiano kwenye video ya remix aliyomshirikisha ya wimbo wake ‘One Centimenter’ Jaguar alidai kuwa baada ya kushoot video hiyo kwa kubembelezana alimtumia Iyanya ili aisambaze kwenye vituo vya TV nchini humo na kwamba hakufanya hivyo. Akiongea na Radio Maisha ya […]

 

10 years ago

GPL

KWA HALI ILIVYO SASA HIVI, HATA MPENZI WAKO HUENDA ANAJIUZA!

Mpenzi msomaji wangu, kichwa cha habari hapo juu huenda kimekushtua lakini huo ndiyo ukweli wa mambo! Nasema hivyo kutokana na kile ninachokishuhudia sasa hivi kwenye ulimwengu wa mapenzi. Kwa wale ambao wanapitapita maeneo yanayosifika kwa biashara ya ukahaba watakubaliana na mimi kwamba hali ni mbaya sana. Mabinti wazuri sana wanaonekana mida ya usiku wakiwa mawindoni.Wanajinadi kwa wanaume wanaopita huku wakiwa wamevalia nusu...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Jaguar ft. Iyanya — One Centemeter (remix)

Siku chache zilizopita msanii Jaguar wa Kenya alienda nchini Nigeria kushoot video ya collabo yake na Iyanya. Jaguar ameachia audio ya wimbo huo ‘One Centemeter’ (remix). Video ya original version ilifanyika nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Bongo5

Jaguar afanya remix ya ‘One Centimeter’ na Iyanya wa Nigeria, washoot na video

Baada ya Sauti Sol kumshirikisha staa wa Nigeria, Iyanya kwenye remix ya hit single yao ‘Sura yako’, staa mwingine wa Kenya naye amemshirikisha Iyanya kwenye remix ya wimbo wake. Jaguar amempa shavu Iyanya kwenye remix ya single yake ya ‘One Centimeter’ ambayo wameshoot na video. Kupitia Instagram Iyanya ameshare picha akiwa na Jaguar na kuandika, […]

 

10 years ago

Bongo5

Jaguar aweka wazi ukweli wa picha za ‘harusi’ yake zilizowashtua wengi

Wiki iliyopita mwimbaji wa ‘Kioo’, Jaguar kutoka Kenya alitawala vichwa vingi vya habari nchini Kenya baada ya baadhi ya picha zake zikimuonesha yuko kanisani akitimiza moja ya hatua muhimu katika maisha ya mwanadamu (ndoa). Baadhi ya vichwa vya habari hiyo vilisomeka ‘Jaguar holds secret wedding in South Africa?’, ‘Jaguar weds in South Africa’. Hata hivyo […]

 

10 years ago

Mwananchi

Simu za kisasa Zinawaathiri wengi kisaikolojia hata kusahau majukumu

Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa sasa ndiyo habari ya mjini. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia mitandao ya kijamii sehemu mbalimbali duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani