Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Slaa na sasa Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?

“KWANGU mimi kuingia Ikulu ni tunda la lengo kuu ambalo ni kurudisha maadili ndani ya nchi hii.

Johnson Mbwambo

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

 

9 years ago

Mtanzania

Nape awapongeza Dk. Slaa, Lipumba

napeNA EVANS MAGEGE

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Nape Nnauye, amewafananisha viongozi waliokihama chama hicho na oili chafu.

Pia aliwapongeza aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu Mkuu ‘aliyepumzishwa’ wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, kuwa wamejitambua kisiasa kwa kujitenga na oili hiyo inayomiminwa ndani ya injini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Slaa mwiba unaowatesa wanasiasa wengine

Saikolojia ya kawaida inatufundisha kwamba ukiona mtu anaandamwa kwa kiwango kikubwa, wakati mwingine ujue ni kwa sababu amegeuka tishio kwa uhai, vyeo na madaraka ya wasiompenda.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Profesa Lipumba, Dk. Slaa hamjatutendea haki

WAKATI mwingine ni wanasiasa wenyewe wanaosababisha raia wa kawaida kuuamini msemo uliopo mitaani kuwa ‘siasa ni mchezo mchafu’.

Msemo huu wa kawaida kabisa mitaani umesababisha hata mtu akizungumza porojo tu watu hudai kwamba eti; ‘hizo ni siasa tu.’

Kwa hiyo sasa siasa kwa lugha nyingine ya mtaani ni ‘usanii’ tu, kitu ambacho si kweli hata kidogo.

Wasomi wa ‘sayansi ya siasa’ (sina hakika kama ndio tafsiri halisi ya ‘political science’), hudai kuwa siasa ni sayansi ya jamii...

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha unayowasiliana na wengine inakutambulisha wewe ni nani

Unaweza kukutana na mtu ndani ya daladala ukamgusa kidogo tu ukazua nongwa hadi ukashushiwa zigo la maneno mabaya? Wakati mwingine njiani au kwenye msongamano wa watu ukamkanyaga mtu kidogo ugomvi wake hapo kila aliyewazunguka atajua kuna mtu kakanyagwa. Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini?

 

10 years ago

GPL

CCM: KUJITOA SLAA, LIPUMBA UKAWA WATANYOOKA TU!

Mwandishi wetu WATANYOOKA tu! Hiyo ndiyo kauli waliyoitoa wafuasi wa CCM jijini Dar baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willibrod Slaa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Ibrahim Lipumba kujiweka pembeni katika shughuli za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Slaa amedaiwa kujichimbia nyumbani kwake Mbweni jijini Dar na kukataa kuzungumzia hatma yake kisiasa na kuacha shughuli za Ukawa...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kiujiuzulu kwa Prof. Lipumba na sintofahamu ya Dk. Slaa

MAKALA hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika gazeti hili katika toleo la wiki iliyopita.

Evarist Chahali

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani