Dk Slaa mwiba unaowatesa wanasiasa wengine
Saikolojia ya kawaida inatufundisha kwamba ukiona mtu anaandamwa kwa kiwango kikubwa, wakati mwingine ujue ni kwa sababu amegeuka tishio kwa uhai, vyeo na madaraka ya wasiompenda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Slaa na sasa Lipumba, nani wengine dhamira zitawasuta?
“KWANGU mimi kuingia Ikulu ni tunda la lengo kuu ambalo ni kurudisha maadili ndani ya nchi hii.
Johnson Mbwambo
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Warioba mwiba
HOJA mbalimbali za aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, jana ziliwafanya baadhi ya makada wa CCM kupandwa na jazba na kuzua vurugu kubwa katika mdahalo...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Bajeti mwiba
HOFU ya kuvunjwa kwa Bunge na kuingia kwenye uchaguzi mkuu kabla ya mwaka 2015, imechangia wabunge kushindwa kuikataa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2014/15 ya sh trilioni 19.8, licha ya...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Warioba mwiba CCM
HILA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, huku wakitumia kitisho cha jeshi kuasi iwapo mfumo wa serikali tatu utaridhiwa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
IPTL mwiba CCM
KITENDO cha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamua kuzima hoja ya kutaka kuunda Kamati Teule ya Bunge, kuchunguza kashfa ya ukwapuaji wa fedha katika akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Katiba ‘mwiba’ kwa wapinzani
SIKU moja baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kuonya juu ya waraka wa maaskofu wa kutaka wananchi waikatae Katiba Inayopendekezwa, wanaoisakama Katiba hiyo wamezidi kubanwa na kuonekana wasioitakia mema Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Ujerumani mwiba kwa wanariadha
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Sekta ya Nishati mwiba mchungu