Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msuya amtaka JK apuuze mambo madogo bungeni

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amemshauri Rais Jakaya Kikwete kupuuza matatizo madogomadogo yanayojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba badala yake asimamie uamuzi ya Bunge hilo ili kupata Katiba ambayo itaongoza nchi kwa amani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo

Wakati mzozo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukishika kasi katika maeneo mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo ni mambo madogo na umoja bado uko imara.

 

11 years ago

GPL

MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWENYE MAPENZI!-2

KUJUA na kutambua thamani ya mapenzi kutakufanya ufurahie katika sayari hiyo. Baadhi ya watu hawapati muda wa kufikiri japo kidogo tu kuhusu kuboresha ndoa au uhusiano wao. Hapa katika All About Love ndiyo mahali sahihi ambapo utapata kujifunza na kutambua mambo muhimu kuhusu maisha ya mapenzi. Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo machache ambayo yanaweza kuonekana madogo lakini yenye thamani kubwa sana katika mapenzi. Leo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta akoroga mambo bungeni

LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuruhusu uvunjwaji wa kanuni ili kuruhusu wenyeviti wa Kamati za Bunge kufafanua baadhi ya mambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AUNGANA NA MAAFISAWAKE KUSHANGILIA KUPITISHWA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, BUNGENI DODOMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akipokea pongezi kutoka kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu, Mwamini Malemi (katikati) mara baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuipitisha Bajeti ya Wizara hiyo katika Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Haji Janabi (kushoto)...

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI DODOMA KESHO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil (Kulia), Naibu Katibu Mkuu Mwamini Malemi (kushoto) wakiwa na Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika Kikao cha Maandalizi ya Kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo inayotarajiwa kuwasilishwa Tarehe 15 Mei, 2014 katika Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS LEMA (MB),

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu, familia yangu na viongozi wangu wa chama na wananchi wa Jimbo langu. Nawashukuru pia maadui zangu kwa dhati kwani uadui wao, hila zao, na mbinu zao chafu dhidi yangu zimeendelea kuiimarisha imani yangu na tumaini langu siku hadi siku, katika vita hii muhimu tunayopigana ya kulikomboa taifa hili.

Mheshimiwa Spika,Muswada huu wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi unaletwa katika Bunge lako tukufu wakati ambapo nchi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Makalio madogo kikwazo Venezuela

Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu kuongeza ukubwa wa makalio na kujiletea madhara makubwa ya kiafya

 

5 years ago

Habarileo

Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mambo yale yale bungeni

BUNGE Maalumu la Katiba jana limeendelea na mjadala wake baada ya kutoka katika mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka, huku wajumbe wa CCM wakitumia muda mwingi kuwajadili wenzao wa Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani