HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS LEMA (MB),
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu, familia yangu na viongozi wangu wa chama na wananchi wa Jimbo langu. Nawashukuru pia maadui zangu kwa dhati kwani uadui wao, hila zao, na mbinu zao chafu dhidi yangu zimeendelea kuiimarisha imani yangu na tumaini langu siku hadi siku, katika vita hii muhimu tunayopigana ya kulikomboa taifa hili.
Mheshimiwa Spika,Muswada huu wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi unaletwa katika Bunge lako tukufu wakati ambapo nchi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_r7eQYpXhjo/U3JOLwB0bFI/AAAAAAAFhbU/R20IeCt1v6w/s72-c/download+(4).jpg)
11 years ago
Dewji Blog14 May
Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa
Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog
10 years ago
Vijimambo26 May
HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
![](http://api.ning.com/files/d5hxC5etmnkXiu2QJMe6mrqRxsR9SDDHvhKOmGKD-DM4GG5rqlIIOux51*dqht8manUPSXvRxp6SsQwNEbggEYlCHyegHKXI/CELINA.jpg?width=650)
Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnkXiu2QJMe6mrqRxsR9SDDHvhKOmGKD-DM4GG5rqlIIOux51*dqht8manUPSXvRxp6SsQwNEbggEYlCHyegHKXI/CELINA.jpg?width=650)
HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016
9 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.
Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia...
9 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MATHIAS CHIKAWE (Mb) ALIYOTOA KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI TAREHE 21 OKTOBA, 2015 KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA WIZARA
Ndugu Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana,Kama mnavyojua tarehe 25 ya mwezi huu wa Oktoba mwaka 2015 siku ya Jumapili katika nchi yetu kutafanyika Uchaguzi Mkuu kwa ajili ya kuchagua rais, wabunge na madiwani zoezi ambalo litawashirikisha watanzania wote...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YAKE KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO