Sitta akoroga mambo bungeni
LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuruhusu uvunjwaji wa kanuni ili kuruhusu wenyeviti wa Kamati za Bunge kufafanua baadhi ya mambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Mar
Sitta: Nataka nidhamu bungeni
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Sitta amshambulia Kubenea bungeni
10 years ago
Habarileo02 Sep
Sitta aweka mambo sawa
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amefafanua kuwa hatua ya kupokea makundi mbalimbali kwenye Bunge Maalumu la Katiba haina lengo la kuja na hoja mpya na kuziwasilisha bungeni.
11 years ago
MichuziWaziri Sitta kuwasilisha Bajeti kesho Bungeni
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Sitta: Mambo matano kwa Taifa
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.
Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Msuya amtaka JK apuuze mambo madogo bungeni