Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchakato urais CCM waendelea kunguruma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKADA mwingine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana alijitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa nafasi ya urais kwa chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK, Magufuli waendelea kunguruma Kusini

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi na mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli jana aliendelea kuunguruma katika mikoa ya Kusini na kuzindua Kivuko cha MV Mafanikio cha Mtwara kilichogharimu Sh3.3 bilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO URAIS CCM: Lowassa akatwa

Dodoma. “Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.

 

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Urais, ubunge kiza kinene CCM., Wagombea waendelea kuumiza vichwa.

Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Wakati wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiendelea kupiga `jalamba' kujiandaa kuchukua fomu za kuwania urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho bado kimeweka usiri wa lini kitatoa ratiba rasmi ili kuwawezesha watu wanaotaka kuwania nafasi hizo kuanza kuchukua fomu.

Tofauti na miaka yote, chama hicho kikongwe kimekuwa kikitangaza ratiba mapema kuwawezesha wanachama wake kufahamu utaratibu wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mgombea urais TLP kunguruma Dar kesho

CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kinatarajia kuzindua kampeni zake kitaifa kesho katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA

Kampuni ya TBL leo imekutana na wanahabari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa vipengele vya tuzo za Tanzania - Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA).
(VIDEO: PATRICK BUZOHERA / GLOBAL TV…

 

11 years ago

Habarileo

JK kunguruma miaka 37 ya CCM

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho tawala nchini. Kabla ya sherehe hizo zitakazofanyika Uwanja wa Sokoine mjini hapa, ataongoza matembezi ya miguu yatakayoanzia kitongoji cha Soweto na kuishia Uwanja wa Sokoine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani