Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCHAKATO URAIS CCM: Lowassa akatwa

Dodoma. “Anakatwa, hakatwi” ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Edward Lowassa akatwa CCM

Tano bora urais ni Membe, Magufuli, Makamba, Migiro, Amina Salum Ali

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato urais CCM waendelea kunguruma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKADA mwingine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana alijitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa nafasi ya urais kwa chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

10 years ago

GPL

KINGUNGE: MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA URAIS CCM ULIKUWA BATILI

Mzee Kingunge akiongea na vyombo vya habari. LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi… ...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa akubali yaishe Urais CCM

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaSIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yamtolea uvivu Lowassa urais 2015

>Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake walioanza mbio za kuwania urais mwaka 2015 watachukuliwa hatua kali za kinidhamu

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu UWT Serengeti ‘ajilipua’ asema ni bora CCM ikamuacha Lowassa agombee Urais

unnamed (2)

Diwani wa kata ya Ikoma wilaya ya Serengeti  mkoani Mara, Sebastian Sabasaba Banagi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana juu ya ujio wao kwa Mh.Lowassa, kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo kitendo cha kuzuiwa  wananchi kueleza hisia zao sio jambo la kidemokrasia bali linakandamiza uhuru wa kusema wanachokiamini huku akisisitiza kuwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa  ni chaguo la walio wengi na hawatasita kumtafuta popote kumueleza hisia...

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani