CCM yamtolea uvivu Lowassa urais 2015
>Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake walioanza mbio za kuwania urais mwaka 2015 watachukuliwa hatua kali za kinidhamu
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Urais 2015: Malecela amtolea uvivu Lowassa
10 years ago
Vijimambo26 May
Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM
![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/lowassa2.jpg?resize=550%2C367)
Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/magufuli1-1024x671.jpg)
MAGUFULI AMBURUZA LOWASSA URAIS 2015
10 years ago
MichuziLOWASSA: MASHEKHE WA BAGAMOYO MMENISHAWISHI KUGOMBEA URAIS 2015
Mashekhe hao kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bagamoyo, wamesema katika salamu zao kuwa wameona mtu pekee anayefaa kushika...
10 years ago
Habarileo26 Mar
Lowassa akubali yaishe Urais CCM
SIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
MCHAKATO URAIS CCM: Lowassa akatwa
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Mashekhe wa Bagamoyo wamtembelea Lowassa, wamshawishi kugombea urais 2015
MASHEIKH wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu (kulia) na Alli Mtumwa (wapili kulia) wamemkabidhi fedha hizo nyumbani kwake mjini Dodoma na kushuhudiwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof Juma Kapuya.MSIKILIZE HAPA.
Mashekhe hao kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Bagamoyo, wamesema katika salamu zao kuwa wameona mtu pekee anayefaa...
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bkofqn56s9k/VcYVtiDAtPI/AAAAAAABTTY/xBMMK4XwjhI/s72-c/11865230_387435721449032_6198329758720002360_o.jpg)
MGOMBE URAIS KUPITIA CHADEMA NA UKAWA EDWARD LOWASSA KUCHUKUA FOMU TAREHE 10/08/2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-bkofqn56s9k/VcYVtiDAtPI/AAAAAAABTTY/xBMMK4XwjhI/s640/11865230_387435721449032_6198329758720002360_o.jpg)