Edward Lowassa akatwa CCM
Tano bora urais ni Membe, Magufuli, Makamba, Migiro, Amina Salum Ali
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jul
MCHAKATO URAIS CCM: Lowassa akatwa
Dodoma. “Anakatwa, hakatwi†ndilo swali lililokuwa linaulizwa nchi nzima jana, lakini hatimaye Kamati Kuu ya CCM iliyokutana hadi usiku wa manane iliibuka na jibu kwamba Edward Lowassa amekatwa, huku kukiwa na wingu zito baada ya wajumbe watatu kupingana na uamuzi huo.
10 years ago
TheCitizen28 Jul
Former PM Edward Lowassa officially quits CCM, joins Chadema
Former Prime Minister Edward Lowassa officially quits CCM and announces at a press conference that he has joined Chadema to continue his dream of running for the presidency. He says that CCM has lost credibility to continue ruling the country.
10 years ago
Mwananchi11 May
UCHAGUZI CCM 2015: Edward Lowassa: Mbunge wa Monduli
>Edward Lowassa alizaliwa Agosti 26, 1953 katika Kijiji cha Ngarash, Monduli na ndiye mtoto mkubwa wa kiume kwa Mzee Ngoyai Lowassa (atafikisha miaka 62 Agosti mwaka huu). Alianza kusoma katika Shule ya Msingi Monduli kati ya mwaka 1961–1967.
10 years ago
VijimamboTamko la Mikoa Minne ya CCM Unguja Dhidi ya Waziri Mkuu Mstaaf Mhe Edward Lowassa.
NDUGU WANAHABARI!
WANACHAMA NA MAKADA WENZANGU WA CCM!
ASALAM ALEYKUM!
Awali ya yote, kwa niaba ya Wanachama na Makada wenzangu tuliokusanyika hapa leo, ninapenda kuchukua fursa hii kumshukuru Molla wetu mtukufu mwingi wa rehemu kwa ukarimu wake na kutujaalia afya njema na uwezo wa kukutana...
10 years ago
Michuzi07 Dec
Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.


Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...
10 years ago
Vijimambo26 May
Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM

Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...
10 years ago
CHADEMA Blog
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania