Wanafunzi wapinga kuongezwa karo Kenya
Polisi mjini Nairobi wamepambana na wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma ambao walifanya maandamano kupinga mpango wa serikali kutaka kupandisha karo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Wanafunzi wapinga unyakuzi wa ardhi Kenya
Polisi nchini Kenya wamewafyatulia wanafunzi wa shule gesi ya kutoa machozi walipokuwa wakipinga unyakuzi wa ardhi waliyokuwa wakitumia kama kiwanja cha kuchezea
10 years ago
MichuziKITUO CHA YATIMA CHAMAZI CHAELEMEWA NA KARO ZA WANAFUNZI
---
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Kituo cha Watoto Yatima cha...
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Zimbabwe:wanafunzi wapinga kuonewa
Wanafuzni chuo kikuu cha Zimbabwe wameshutumu kuwepo kwa sheria kandamizi dhidi yao, ikiwemo ya kutoruhusu kubusiana
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Wapinga 'kuvuliwa' nguo Kenya
Wanawake mjini Nairobi leo wameandamana kupinga kitendo cha mwanamke mmoja kuvuliwa nguo kwa madai kuwa alikuwa amevalia sketi fupi sana.
11 years ago
Habarileo08 Apr
Mwanafunzi afia ndani ya karo la maji
MWANAFUNZI wa darasa la nne shule ya msingi Mji Mpya aliyetambuliwa kwa jina la Doris Samwel (10) amekutwa amekufa ndani ya karo la maji. Maiti ya mwanafunzi huyo ilikutwa jana saa 2:00 asubuhi maeneo ya Majohe Viwege, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Agizo kuhusu karo shule binafsi linatekelezeka?
Tunalazimika kuitahadharisha Serikali kuhusu agizo lake la hivi karibuni la kupiga marufuku shule binafsi kuongeza karo kwa mwaka ujao. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa agizo hilo kwa madai kwamba imezingatia hali halisi ya uchumi inayowakabili wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule hizo.
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Zuma aahidi karo ya vyuo haitaongezwa Afrika Kusini
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ameahidi kuwa vyuo vikuu havitaongeza ada ya masomo mwaka ujao baada ya wanafunzi wa vyuo hivyo kuandamana kwa wiki moja.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ktJbTuUyBag/Vin-7JqG2_I/AAAAAAAIB5Q/ud3y7bUY8cs/s72-c/272.jpg)
MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR AKAGUA KARO LA KUHIFADHI UCHAFU
![](http://3.bp.blogspot.com/-ktJbTuUyBag/Vin-7JqG2_I/AAAAAAAIB5Q/ud3y7bUY8cs/s640/272.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uFihiMnp-94/Vin-7j5O3VI/AAAAAAAIB5U/Hd731ZHWP98/s640/273.jpg)
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wanafunzi 20 washtakiwa na ulevi Kenya
Wanafunzi 20 wa shule za upili nchini Kenya wamepelekwa mahakamani na kushtakiwa kwa kuwa walevi na wenye tabia mbaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania