Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afa, aharibika nyuma ya Kituo cha Polisi

MKAZI wa Kijiji cha Lubungo wilayani Mvomero, Juma Mbega, amekutwa amekufa na mwili wake kuharibika nyuma ya Kituo Kikubwa cha Polisi mkoani Morogoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AFA JIRANI NA KITUO CHA POLISI

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
MSHTUKO! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Jeshi la Polisi mkoani hapa, limelazimika kuwaita wafanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kushuhudia mwili wa mtu aliyekutwa amekufa kwenye kichaka jirani na ofisi za makao makuu ya jeshi hilo. Wananchi wakiushuhudia mwili wa Juma Mbega ukiwa kwenye maji.
Kwa mujibu wa polisi, mwili wa mtu huyo...

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA

WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha. Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI

JESHI la Polisi mkoani Arusha, litaanza ujenzi wa kituo kidogo cha polisi katika kata ya Kisongo wilayani Arumeru mkoani hapa baada ya jitihada za Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kuwapa eneo la ujenzi huo ili kuondoa kero kwa wananchi.

Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.

Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema Majambazi hao wamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.

 

11 years ago

Michuzi

100.5 Times Fm yakichangia kituo cha Polisi cha Kawe vifaa mbalimbali

Kituo cha radio cha 100.5 Times Fm, June 21 kilitoa mchango wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukisaidia kituo cha polisi cha Kawe, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
 Times Fm imetoa mchango huo baada ya kubaini changamoto mbalimbali za kiutendaji zinazokikabili kituo hicho cha polisi kutokana na upungufu wa vifaa.
Baadhi ya vifaa vilivyokabithiwa kwa kituo hicho cha polisi ni pamoja na viti, meza na vifaa mbalimbali vitavypotumika katika uandishi na uchapaji wa taarifa zao...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi

 Meneja Mkuu wa Utawala na Rasilimali wa Jeshi la Polisi la Tanzania, Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Bw. Harbinder Sethi (kushoto), wakati akipokea hundi ya shilingi milioni 10 iliyotolewa na IPTL kuchangia ujenzi wa kituo cha Polisi cha Mbweni-Malindi. Katikati ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum la kipolisi Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, Suleiman Kova. Meneja Mkuu wa Utawala...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa  Mamlaka ya ukanda maalumu wa uwekezaji (EPZA), Bw. Desidery Kalimwenjuma (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa  polisi wilaya ya kimara, SP Cosmas Papalika (katikati) moja ya vifaa vitakavyotumika kwa ajili ya ukarabati wa kituo kidogo cha polisi cha Mwongozo kilichopo Makuburi Kibangu jijini Dar es Salaam.  Wengine ni afisa wa polisi, Ali Rashidi (kulia), Mkuu wa kituo cha hicho, John Haule (wa pili kulia) na Mkuu wa kitengo cha manunuzi kutoka EPZA Bw. Joseph...

 

10 years ago

Michuzi

CHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP)  Ernest Mangu, mara baada ya kuwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi, iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Katikati (mwenye tai) ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ambaye pia alihudhuria hafla hiyo.kULIA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani