AFA JIRANI NA KITUO CHA POLISI
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LtjcBUmmgir1GjnSZuYvhZWZKGlXpS9nC3sXpzr*3HtIR4IjGvBHCIOY*oENgloEXuFyK4rJUVufGpbijX3AWpi/noma.jpg)
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro MSHTUKO! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Jeshi la Polisi mkoani hapa, limelazimika kuwaita wafanyakazi wa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kushuhudia mwili wa mtu aliyekutwa amekufa kwenye kichaka jirani na ofisi za makao makuu ya jeshi hilo. Wananchi wakiushuhudia mwili wa Juma Mbega ukiwa kwenye maji. Kwa mujibu wa polisi, mwili wa mtu huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 May
Afa, aharibika nyuma ya Kituo cha Polisi
MKAZI wa Kijiji cha Lubungo wilayani Mvomero, Juma Mbega, amekutwa amekufa na mwili wake kuharibika nyuma ya Kituo Kikubwa cha Polisi mkoani Morogoro.
9 years ago
MichuziAskari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wz3pzQLdiZg/XuJN6GkQ-2I/AAAAAAALtdk/Oy1Venwc_ewKM-zBNgDMA_Lh6wQ_9YyswCLcBGAsYHQ/s72-c/26da6cd5-1fd1-4c01-bd8b-17c480d3d3a5.jpg)
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA
11 years ago
Michuzi100.5 Times Fm yakichangia kituo cha Polisi cha Kawe vifaa mbalimbali
Times Fm imetoa mchango huo baada ya kubaini changamoto mbalimbali za kiutendaji zinazokikabili kituo hicho cha polisi kutokana na upungufu wa vifaa.
Baadhi ya vifaa vilivyokabithiwa kwa kituo hicho cha polisi ni pamoja na viti, meza na vifaa mbalimbali vitavypotumika katika uandishi na uchapaji wa taarifa zao...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8zo4NUP9bg0/U6Ec_byyoGI/AAAAAAACjpo/3CnRqeuGXPk/s72-c/IPTL+MBWENI+PIX+1.jpg)
IPTL yapiga jeki ujenzi wa kituo cha polisi cha Mbweni- Malindi
![](http://2.bp.blogspot.com/-8zo4NUP9bg0/U6Ec_byyoGI/AAAAAAACjpo/3CnRqeuGXPk/s1600/IPTL+MBWENI+PIX+1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ufsiGmLtEzo/U6Ec_tVSNUI/AAAAAAACjps/ntqD_hqHI0I/s1600/IPTL+MBWENI+PIX+2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
CHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s640/unnamed%2B(69).jpg)