Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Harambee ya Kumchangia Mohammed (Mtoto wa BI.MOZA) Kwenda kwenye matibabu India

Ndugu zetu wa Tanzania wote msaada unahitajika kukamilisha gharama za matibabu ya kumpeleka ndugu yetu India kwa ajili ya kufanyiwa Kidney Transplant kwa haraka iwezekanavyo; kwa hivi sasa mgonjwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili, Dar-es-Salaam.
Harambee itafanyika Kama ifuatavyo:Siku: Sunday - May 17, 2015 * SAA: Kuanzia 2pm-6pm
Address: Sligo Ave. PAB - Sligo Ave. Neighbor Park (Sligo Urban) 500 Sligo AVE Silver Spring MD, 20910
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Bi.Moza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA KUMCHANGIA MOHAMMED (MTOTO WA MAMA MOZA) DMV

Moza(kati) akiongea machache wakati wa harambee ya kumchangia mwanae iliyofanyika siku ya Jumapili May 17, 2015 Silver Spring, maryland. Kushoto ni Mariam na kulia ni Asha Hariz wakifuatilia anachokisema Maza.WanaDMV wakifuatilia mnada.WanaDMV wakifuatilia harambee.Jack (koti la kijani) akimsalimia Moza na kumpa pole ya kuuguliwa na mwanae.Jack akichangia.Ali akipokea viatu toka kwa Abou baada ya kuvinunua.Mnada ukiendeleaRashid akiwa na familia yake.Picha zote na Tito Mazali DMVKwa picha...

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu


Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...

 

9 years ago

Bongo5

Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’

wastara mguu

Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.

wastara mguu

Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB BILAL KWENYE HARAMBEE YA UCHAGIAJI UJENZI WA MSIKITI WA PATANDI, JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA MAKAMU WA RAISOfisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa shughuli ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo wilaya ya Arumeru jijini Arusha ambao umepangwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 15, 2015 na ambayo awali ilitangazwa kuwa mgeni Rasmi katika Harambee hiyo angekuwa Mheshimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mil. 600/- zakusanywa harambee vifaa vya matibabu ya watoto

RAIS Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia juzi aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya Sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wadi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

WASANII WAUNGANA NA MABESTE KWENYE SHOO YA KUMCHANGIA MKEWE

Msanii Mabeste akiwapagawisha mashabiki. Msanii wa muziki, Bob Junior akifanya yake jukwaani. Mdada akipagawa na wimbo wa msanii Shebby Love (kushoto).…

 

11 years ago

Bongo Movies

Huu ni ujumbe wa Kajala kwenda kwa mtoto wake leo kwenye siku ya kuzaliwa kwa binti yake huyo.

Miaka 12 iliyopita sikuwahi kujua kama itafikia siku nitajisikia hiki ninachofeel siku ya leo.. nimepitia mambo mengi sana na wewe.. nimepata shida nyingi mno lakini sikukuacha wala kukutupa.. kwenye jua ama mvua, iwe usiku ama mchana katika mitihani yote niliyopitia nilikuwa na wewe tu mwanangu.. ulikuwa kama pochi yangu.. bila kujua kesho utakuwa NANI!! nilikupenda tangu siku ya kwanza nakuona.. nilikuthamini na kuahidi nafsi yangu kuwa nitakufa na wewe katika hali yoyote ile bila kujua...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani