Mil. 600/- zakusanywa harambee vifaa vya matibabu ya watoto
RAIS Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia juzi aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya Sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wadi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.
Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...
5 years ago
CCM BlogNMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam - Badru Idd (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati, viti na meza 150 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia) katika Shule ya Sekondari Kibamba. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 15 vimetolewa na NMB kuzisaidia Shule tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Kinzudi Sekondari pamoja na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini zote za jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia mwenye suti)...
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika ...
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo ...
5 years ago
MichuziTAASISI YA CSEE, CHILD FUND KOREA WATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIA VIRUSI VYA CORONA VYA THAMANI YA MIL 40/- KARATU
Na Woinde Shizza, KARATU
TAASISI ya Community Aid and Social Education Empowerment (CSEE) kwa kushirikiana na Child Fund Korea ambao wamejikita katika kusaidia watoto dhidi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona wametoa msaada wa vifaa venye thamani ya shilingi million 40 kwa Wilaya ya Karatu.
Msaada huo ni vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona ambavyo ni pamoja na spika za sauti za kusaidia kuelimishia jamii sehemu mbalimbali zenye shughuli zinazokusanya watu wengi kwa ...
5 years ago
MichuziWADAU WA AFYA WACHANGIA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WAKATI WA MATIBABU SHINYANGA
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akimkabidhi Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile Methylated Sprit 'Sanitizer' ikiwa ni sehemu ya vifaa vyenye thamani shilingi milioni 10.7 kwa ajili ya kujikinga na kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona wakati wa matibabu vilivyotolewa na wadau wa afya mkoa wa Shinyanga likiwemo shirika la Touch Foundation Jumatatu Aprili 6,2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde -...
10 years ago
Habarileo02 Nov
Kairuki aipatia Ilala vifaa tiba vya mil.65/-
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki ametoa msaada wa vifaatiba na vifaa vingine vya hospitali kwenye vituo vitano vya afya, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 65. Amesema msaada huo ni mchango wake katika kuimarisha huduma za afya nchini.
5 years ago
YkileoNAMNA BORA YA KULINDA VIFAA VYA TEHAMA VYA WATOTO
KWA UFUPI: Kutokana na ukuaji wa teknolojia pamoja na muunganiko wa vitu vingi katika mtandao (IoT) vifaa vingi vya watoto vimekua mhanga mkubwa wa uhalifu mtandao – Hii imepelekea kuchukuliwa kwa hutua mbali mbali za kulinda watoto mitandaoni. Andiko hili lina angazia namna bora ya kulinda vifaa vya watoto vya TEHAMA.-----------------------------------------
Kumekua na matukio kadhaa yaliyo husisha kuingiliwa kimtandao (kudukuliwa) kwa vifaa vinavyo tumiwa na watoto huku wahalifu mtandao...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania