TAASISI YA CSEE, CHILD FUND KOREA WATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIA VIRUSI VYA CORONA VYA THAMANI YA MIL 40/- KARATU
![](https://1.bp.blogspot.com/-HK65PW46XKM/XtjQRage0WI/AAAAAAALsmc/MLJ7db3EYkIM5dqvvVIC9SarOP1RoFSbQCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0059.jpg)
Na Woinde Shizza, KARATU
TAASISI ya Community Aid and Social Education Empowerment (CSEE) kwa kushirikiana na Child Fund Korea ambao wamejikita katika kusaidia watoto dhidi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona wametoa msaada wa vifaa venye thamani ya shilingi million 40 kwa Wilaya ya Karatu.
Msaada huo ni vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona ambavyo ni pamoja na spika za sauti za kusaidia kuelimishia jamii sehemu mbalimbali zenye shughuli zinazokusanya watu wengi kwa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogTAASISI YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA CORONA VYENYE THAMANI YA MILIONI SABA
Kiongozi wa Taasisi ya Chuo cha Mafunzo pamoja na Group la Happy Hands Zainab Bunamy (kushoto) akikabidhi msaada wa vitu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-La-2NuivUhs/Xrktu2Vde8I/AAAAAAALpxw/2KXoRofohsYO-3tuweMFEugI_pmPS9tPQCLcBGAsYHQ/s72-c/467.jpg)
TAASISI YA PAMOJA IKISHIRIKIANA NA RED CROSS UNGUJA WATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA (COVID-1).
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s72-c/1.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
![](http://4.bp.blogspot.com/-IUbUTeh5NJM/VUx2t1X96OI/AAAAAAAA1sQ/J241SkLKa6c/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-PGGOjhKYOok/VUx3SuqK4yI/AAAAAAAA1uU/ByALKEDocRQ/s640/9.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-OEyrRKU7lUI/VUx2po2uLDI/AAAAAAAA1sE/96UT9aILrwk/s640/01.jpg)
TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya corona: Wanafunzi Kenya watengeneza vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SuOBAmlJCQM/XrhLQdh1G7I/AAAAAAALpsk/VSdg2BuwCe0mUD9JoPs780Bm4FRRAlapACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-10%2Bat%2B5.00.37%2BPM.jpeg)
TAASISI YA DK MSUYA YAGAWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA VYENYE THAMANI YA SH MILIONI 2.5 KWA MAKANISA MWANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-SuOBAmlJCQM/XrhLQdh1G7I/AAAAAAALpsk/VSdg2BuwCe0mUD9JoPs780Bm4FRRAlapACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-10%2Bat%2B5.00.37%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-AL4TEt2tTy4/XrhLP1Tn8xI/AAAAAAALpsc/a6PeAVMdhHUce9zXf3zA0mnCnxPJ2OYDACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-10%2Bat%2B5.03.25%2BPM.jpeg)
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona
5 years ago
CCM BlogTAASISI YA ANDALUSIA NA GROUP YA HAPPY HANDS YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA MADAKTARI NA WAUGUZI VYENYE THAMANI YA SH. MILIONI SABA
Kiongozi wa Taasisi ya Andalusia na Group ya Happy Hands Zainab Bunamay (kushoto) akikabidhi msaada wa vifaa mbalimbali kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia mjema wenye dhamani ya Sh. Milioni Saba uliotole kwa niaba ya Taasisi hiyo vikiwemo vifaa...
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China