‘ETI WANATAKA KUUKATA TENA MGUU WANGU’
Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema Kijana mmoja Sadick Suleiman (24) (pichani), mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam amesema kuwa madaktari wanataka kuukata mguu wake kwa mara ya tatu baada ya oparesheni mbili kufanyika pasipo mafanikio. Sadick Suleiman akionyesha sehemu ya mguu wake uliokatwa. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Ocean Road, Sadick alisema mguu wake ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSNURA: WABAYA WANGU WANATAKA KUNISHUSHA
9 years ago
GPLWASTARA KUKATWA MGUU TENA!
9 years ago
Bongo510 Sep
Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli — Roma
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
11 years ago
GPLMAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!