Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la Saba iliyofanyika nchini kote kuanzia Septemba 2 hadi Septemba 10, mwaka huu ambapo watahiniwa 518, 034 kati ya 763, 602 waliofanya mitihani hiyo wamefaulu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba

Kibaha katibu tawala wa mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar yaongeza ufaulu darasa la saba

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...

 

9 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba

UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu la Saba juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani wa Darasa la Saba kwa mwaka huu, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2014 yanayoonesha kuwa, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 6.38 huku Kanda ya Ziwa iking’ara kwa kuwa na shule nane kati ya kumi bora kitaifa.

 

9 years ago

GPL

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chini ARUSHA DAR ES SALAAM…

 

9 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani