Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaulu la Saba juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani wa Darasa la Saba kwa mwaka huu, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2014 yanayoonesha kuwa, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 6.38 huku Kanda ya Ziwa iking’ara kwa kuwa na shule nane kati ya kumi bora kitaifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la Saba iliyofanyika nchini kote kuanzia Septemba 2 hadi Septemba 10, mwaka huu ambapo watahiniwa 518, 034 kati ya 763, 602 waliofanya mitihani hiyo wamefaulu.

 

10 years ago

Habarileo

Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba

Kibaha katibu tawala wa mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wakosoa ufaulu la saba

>Wadau wa elimu nchini wamekosoa ufaulu wa matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi kwa kusema siyo ishara ya kukua kwa sekta hiyo, ilhali kuna tatizo la kisera.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar yaongeza ufaulu darasa la saba

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...

 

9 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba

UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.

 

11 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato 6 juu

Mwanafunzi bora Isaack Shayo akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwao, Mbezi Beach Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).UFAULU katika mtihani wa Kidato cha Sita mwaka jana, umeongezeka kwa asilimia 8.13 huku shule za mikoani zisizo na majina makubwa zikichomoza katika orodha ya kumi bora.

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato cha sita juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, akitangaza matokeo ya kidato cha sita.WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.

 

9 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA SABA LA ELIMU YA JUU LAENDELEA JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Awadh Mawenya, ambaye ni mgeni rasmi katika kongamano la saba la elimu ya juu linalofanyika jijini Arusha akiongea machache mara baada ya kumaliza kutoa mada. Kongamano hilo limeandaliwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Tume ya Vyuo Vikuu nchini, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) pamoja na Kamati ya Wakuu wa vyuo Vikuu nchini (CVCPT) likiendana sambamba na maonyesho.Washiriki wa kongamano la...

 

10 years ago

Vijimambo

MAAFISA SABA WA JUU WA FIFA WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA RUSHWA MJINI ZURICH NCHINI SWITZERLAND

Maafisa saba wa juu wa shirikisho la soka duniani, FIFA wamekamatwa kwa shutuma za kupokea rushwa. Maafisa hao walikamatwa kwenye hoteli ya Baur au Lac ya jijini Zurich, Jumatano hii. Polisi wa Uswisi wamekamata maafisa hao wakiwemo makamu wa rais wawili baada ya kuivamia kwa kushtukiza hoteli hiyo. Makamu wa rais wa FIFA, Jeffrey Webb anaaminika kuwa mmoja wa maafisa waliokamatwa alfajiri ya leo wakiwa kwenye hoteli ya kifahari nchini Uswisi
 Eduardo Li, kutoka Costa Rica naye pia alikamatwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani