Ufaulu kidato 6 juu
UFAULU katika mtihani wa Kidato cha Sita mwaka jana, umeongezeka kwa asilimia 8.13 huku shule za mikoani zisizo na majina makubwa zikichomoza katika orodha ya kumi bora.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo16 Jul
Ufaulu kidato cha sita juu
WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.
11 years ago
Habarileo22 Feb
Ufaulu kidato IV wapanda
UFAULU wa watahiniwa wa kidato cha nne mwaka jana umeongezeka kwa mujibu wa taarifa ya matokeo ya mitihani hiyo kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).
11 years ago
Habarileo26 Feb
NECTA yafafanua alama za ufaulu kidato cha nne
BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla, ambavyo vimetumika kwa mara ya kwanza mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka
9 years ago
StarTV02 Nov
Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne
Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.
Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.
Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...
11 years ago
Mwananchi18 Jul
Ufaulu kidato cha sita watia shaka wadau wa elimu
10 years ago
Habarileo06 Nov
Ufaulu la Saba juu
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2014 yanayoonesha kuwa, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 6.38 huku Kanda ya Ziwa iking’ara kwa kuwa na shule nane kati ya kumi bora kitaifa.
11 years ago
Michuzi29 Jun
BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA MADARAJA YA UFAULU KIDATO CHA NNE NA TANO
![](https://2.bp.blogspot.com/-iyagcdX7E9g/U621AyDjleI/AAAAAAAAJUo/FPL6k41YOQY/s640/1.jpg)
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11