Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaulu kidato IV wapanda

Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles MsondeUFAULU wa watahiniwa wa kidato cha nne mwaka jana umeongezeka kwa mujibu wa taarifa ya matokeo ya mitihani hiyo kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ufaulu la 7 Dar wapanda

WAKATI ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba ukipanda kwa mkoa wa Dar es Salaam, imeelezwa kuwa wanafunzi 49,063 sawa na asilimia 83.17 ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mkoani humo wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ufaulu wa wanafunzi Kigoma wapanda kwa asilimia 12.01

Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafra ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny) (3)

Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Kiwango cha Elimu ya Msingi mkoani Kigoma kimeonekana kupanda kwa mwaka 2015 ikilinganisha na  mwaka jana baada ya ufaulu wa wanafunzi waliomaliza  darasa la saba mwaka huu kupanda kwa asilimia 12.01.

Akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka...

 

11 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato 6 juu

Mwanafunzi bora Isaack Shayo akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwao, Mbezi Beach Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha Wetu).UFAULU katika mtihani wa Kidato cha Sita mwaka jana, umeongezeka kwa asilimia 8.13 huku shule za mikoani zisizo na majina makubwa zikichomoza katika orodha ya kumi bora.

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato cha sita juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, akitangaza matokeo ya kidato cha sita.WATAHINIWA 38,853 kati ya watahiniwa 40,753 waliofanya mtihani wa Kidato cha Sita kwa mwaka 2015, wamefaulu mitihani yao ikiwa ni ongezeko la asilimia 1.67 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

NECTA yafafanua alama za ufaulu kidato cha nne

Kaimu Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles MsondeBARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla, ambavyo vimetumika kwa mara ya kwanza mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka

>Baraza la Mitihani nchini Necta leo limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema kuwa umefaulu umeongezeka kwa asilimia 0.61.

 

11 years ago

Mwananchi

Ufaulu kidato cha sita watia shaka wadau wa elimu

Wadau wa elimu nchini wameonyesha kushtushwa na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kuonyesha kuwa asilimia 95.98 ya watahiniwa wamefaulu mtihani huo bila kuwapo na mikakati inayoonekana ya kuboresha kiwango cha ufaulu.

 

9 years ago

StarTV

Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne

Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.

Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.

 Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA MADARAJA YA UFAULU KIDATO CHA NNE NA TANO


Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.  Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani mbalimbali. Kwa Kidato cha Nne mwaka huu, alama hizo zitatokana na matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha pili ambao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani