Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufaulu la 7 Dar wapanda

WAKATI ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba ukipanda kwa mkoa wa Dar es Salaam, imeelezwa kuwa wanafunzi 49,063 sawa na asilimia 83.17 ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mkoani humo wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ufaulu kidato IV wapanda

Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles MsondeUFAULU wa watahiniwa wa kidato cha nne mwaka jana umeongezeka kwa mujibu wa taarifa ya matokeo ya mitihani hiyo kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).

 

9 years ago

Dewji Blog

Ufaulu wa wanafunzi Kigoma wapanda kwa asilimia 12.01

Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafra ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny) (3)

Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Kiwango cha Elimu ya Msingi mkoani Kigoma kimeonekana kupanda kwa mwaka 2015 ikilinganisha na  mwaka jana baada ya ufaulu wa wanafunzi waliomaliza  darasa la saba mwaka huu kupanda kwa asilimia 12.01.

Akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

VODACOM WAPANDA MITI HOSPITALI YA MLOGANZILA JIJINI DAR ES SALAAM


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC Wakishiriki  zoezi la kupanda miti katika Hospitali ya Muhimbili eneo la Mloganzila jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea katika hospitali hiyo kwa ajili ya kuwapa pole wagonjwa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.Meneja chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Grace Kijo akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea wagonjwa katika Hospitali hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

RC Dar amuangukia JK ufaulu wa wanafunzi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki, amemuomba Rais Jakaya Kikwete autupie jicho mkoa wa Dar es Salaam na kusaidia kutafutia ufumbuzi, tatizo la idadi kubwa ya wanafunzi waliojitokeza kuingia Kidato cha Kwanza mwaka huu, tofauti na uwezo wa shule za mkoa huo.

 

9 years ago

StarTV

Ufaulu kwa wanafunzi waongezeka Dar

Idadi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka huu imepanda katika mkoa wa DAR ES SALAAM kutoka asilimia 78 mwaka 2014 hadi asilimia 83 mwaka 2015.

Hata hivyo mkoa huo ulikuwa na jumla ya wanafunzi wanaohitimu darasa la saba 59,704 waliosajiliwa kufanya mtihani na wanafunzi 715 hawakufanya mtihani kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoro,vifo,ugonjwa na nyengine.

 

Idadi ya wanafunzi waliofaulu mtihani ni 49,063 wakiwemo wavulana 23,458 na wasichana 25,605 sawa na asilimia 83.17 mwaka huu...

 

10 years ago

GPL

AFUNIKA UFAULU CHUO KIKUU DAR

Mhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014, Doreen Kabuche. Mhitimu bora wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2014, Doreen Kabuche (22), aliushangaza umma uliohudhuria maafali ya 44 ya chuo hicho baada ya kutangazwa kuwa kinara kwa ufaulu kwa kupata alama A 32 na B+ sita kati ya masomo 38 ya shahada ya Takwimu Bima (Actuarial Science). Kwa alama hizo, Doreen alipata wastani wa alama za ufaulu (GPA) 4.8 na kuacha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dar yaongeza ufaulu darasa la saba

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWAPOKEA WAPANDA BASIKELI WALIOSAFIRI KILOMITA 830 KUTOKA MBEYA KUJA KUMPONGEZA IKULU, DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usimamizi wa maadili Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dar waongeza ufaulu

CBE - 1

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho miaka 50 ya chuo hicho yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa –MAELEZO

Hatua iliyochukuliwa na uongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) kuendelea kuweka msisitizo katika usimamizi wa maadili kwa wanafunzi imeanza kuzaa matunda kufuatia kuogezeka kwa ufaulu wa masomo kwa wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.

Hayo yamebainishwa leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani