Ufaulu kwa wanafunzi waongezeka Dar
Idadi ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka huu imepanda katika mkoa wa DAR ES SALAAM kutoka asilimia 78 mwaka 2014 hadi asilimia 83 mwaka 2015.
Hata hivyo mkoa huo ulikuwa na jumla ya wanafunzi wanaohitimu darasa la saba 59,704 waliosajiliwa kufanya mtihani na wanafunzi 715 hawakufanya mtihani kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoro,vifo,ugonjwa na nyengine.
Idadi ya wanafunzi waliofaulu mtihani ni 49,063 wakiwemo wavulana 23,458 na wasichana 25,605 sawa na asilimia 83.17 mwaka huu...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Feb
RC Dar amuangukia JK ufaulu wa wanafunzi
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki, amemuomba Rais Jakaya Kikwete autupie jicho mkoa wa Dar es Salaam na kusaidia kutafutia ufumbuzi, tatizo la idadi kubwa ya wanafunzi waliojitokeza kuingia Kidato cha Kwanza mwaka huu, tofauti na uwezo wa shule za mkoa huo.
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Ufaulu wa walimu waongezeka
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Ufaulu ngazi ya CPA waongezeka
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Ufaulu somo la Kiislamu waongezeka
KIWANGO cha ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya Kiislamu Agosti 13 mwaka huu kimeongezeka kwa asilimia 46 ukilinganishwa na mwaka jana. Hayo yalibainishwa jana jijini Dar...
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Ufaulu wa wanafunzi Kigoma wapanda kwa asilimia 12.01
Kaimu Afisa Elimu wa mkoa wa Kigoma, Venance Babukege, akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka 2015 mkoani humo mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).
Na Emmanuel Senny, Kigoma
Kiwango cha Elimu ya Msingi mkoani Kigoma kimeonekana kupanda kwa mwaka 2015 ikilinganisha na mwaka jana baada ya ufaulu wa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu kupanda kwa asilimia 12.01.
Akizungumza katika hafla ya upangaji matokeo ya darasa la saba mwaka...
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA DODOMA INATARAJIA UFAULU MZURI KWA WANAFUNZI
Kauli hiyo ilitolewa na Ofisa elimu sekondari wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Mwalimu Upendo Rweyemamu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelezea utimilifu wa maandalizi ya mtihani wa kumaliza kidato cha sita mwaka 2020 katika...
9 years ago
StarTV02 Nov
Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne
Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.
Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.
Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Ufaulu la 7 Dar wapanda
WAKATI ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba ukipanda kwa mkoa wa Dar es Salaam, imeelezwa kuwa wanafunzi 49,063 sawa na asilimia 83.17 ya waliofaulu mtihani wa darasa la saba mkoani humo wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.