Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM WAPANDA MITI HOSPITALI YA MLOGANZILA JIJINI DAR ES SALAAM


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC Wakishiriki  zoezi la kupanda miti katika Hospitali ya Muhimbili eneo la Mloganzila jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea katika hospitali hiyo kwa ajili ya kuwapa pole wagonjwa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.Meneja chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Grace Kijo akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea wagonjwa katika Hospitali hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutoka kushoto Anna Msinde,Mwanaidi Khaji na Mariam Rajabu wakielekezwa na Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Athuman Mwakipesile(kulia)  jinsi ya kujiunga na huduma ya M-Pawa inayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kupata riba na mikopo ya bei nafuu kupitia simu zao za mkononi  wakati wa kongamano la wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji(Financial and Investment Service fair) lililofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanamazingira wapanda miti UDOM

KLABU ya Wanamazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Kitivo cha Elimu kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya wanafunzi, wamepanda miti ya kivuli katika kitivo hicho ambacho kinatumia umwagiliaji...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHI MADAWA LA HOSPITALI CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu...

 

9 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA YASHIRIKI KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI JIJINI DAR ES SALAAM‏

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam kutoka kushoto Anna Msinde,Mwanaidi Khaji na Mariam Rajabu wakielekezwa na Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Athuman Mwakipesile(kulia) jinsi ya kujiunga na huduma ya M-Pawa inayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kupata riba na mikopo ya bei nafuu kupitia simu zao za mkononi wakati wa kongamano la wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji(Financial and Investment Service fair) lililofanyika katika...

 

11 years ago

Michuzi

mabingwa wa vodacom premier league 2014 AZAM FC WAPOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR ES SALAAM



Mapokezi Azam Fc1 Basi lililowabeba wachezaji wa Azam. Baada ya kuweka rekodi mpya ya kutwaa taji la ligi ya mabingwa Tanzania bara, wanalambalamba wa Azam wametua leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere na kulakiwa kwa shangwe na mamia ya mashabiki na wapenzi wa timu hiyo. Azam wapokelewa uwanja wa ndege    Mapokezi Azam Fc2 Mapokezi Azam Fc

 

11 years ago

Michuzi

Wana Njia Panda washiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam

  
 Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack Maro akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanzibar Media Bi. Sophia Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali ya Amana iliyopo Ilala, jana jijini Dar es Salaam. Wananjiapanda wamejitolea kufanya shughuli za usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni kutoa mchango wao kwa jamii inayowazunguka.  Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack...

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo

Waziri mkuu mstaafu  na mbunge wa Monduli Mh edward Lowassa akimjulia hali leo hii askofu mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar es salaam alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora.Mwenye shati jeupe ni Bishop Gwajima.

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH JIJINI DAR ES SALAAM YAPOKEA MSAADA WA KOPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam,wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania,Jumla ya kompyuta(25) pamoja na vifaa vingine vimetole msaada na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Samsung na vitafungwa hivi karibuni kwa ajili ya kufundishia somo la kompyuta shuleni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza akiwapa maelezo wanafunzi wa shule ya sekondari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani