Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamazingira wapanda miti UDOM

KLABU ya Wanamazingira wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Kitivo cha Elimu kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya wanafunzi, wamepanda miti ya kivuli katika kitivo hicho ambacho kinatumia umwagiliaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TICS WAPANDA MITI KATIKA SHULE YA SEKONDARI KURASINI

 Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule ya sekondari  ya Kurasini Florentine Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green. Waalimu wa shule ya sekondari...

 

11 years ago

Habarileo

TBL wapanda miti 1,250 Chuo Kikuu Mount Meru

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Arusha, wamepanda miti 1,250 katika eneo la Chuo Kikuu cha Mount Meru (MMU) ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa mazingira mkoani humo.

 

5 years ago

Michuzi

VODACOM WAPANDA MITI HOSPITALI YA MLOGANZILA JIJINI DAR ES SALAAM


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC Wakishiriki  zoezi la kupanda miti katika Hospitali ya Muhimbili eneo la Mloganzila jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea katika hospitali hiyo kwa ajili ya kuwapa pole wagonjwa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.Meneja chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Grace Kijo akipanda mti katika eneo la Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea wagonjwa katika Hospitali hiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

TICS wapanda miti 250 katika shule ya Sekondari Kurasini katika kampeni ya GO Green!

2Waalimu wa shule ya sekondari ya Kurasini wakiwa na viongozi wa TICS kabla ya kuanza zoezi la kupanda miche 250 kwenye eneo la shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo, mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye kauli mbiu ya GO Green.

1Kutoka kushoto ni  Mkurugenzi  wa kitengo cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali  watu, Sadick Abdalla...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

10 years ago

Michuzi

Wanamazingira wahamasishwa kuwalinda binadamu, viumbe hai

Kamishna Msaidizi wa Nishati Mbadala kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Leonard Ishengoma akisoma hotuba ya ufunguzi (kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara, Eliakim Maswi) wa semina ya mafunzo kwa Maafisa Mazingira wa Wilaya kutoka Kanda ya Ziwa, juu ya mpango kazi wa mazingira wa sekta za nishati na madini, Septemba 1, 2014.Afisa Misitu Mkuu kutoka Kitengo cha Mazingira – Wizara ya Nishati na Madini, Theodory Silinge akisisitiza jambo wakati wa semina ya mafunzo kwa Maafisa Mazingira wa...

 

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani