Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


254 wa darasa la 7 mkoa wa Arusha hawajui kusoma

WILAYA ya Ngorongoro inaongoza kwa kuwa na wanafunzi 124 waliomaliza darasa la saba mwaka huu bila ya kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wahitimu 344 darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika

Wanafunzi 344 waliomaliza darasa la saba mwaka huu mkoani hapa wamebainika kuwa hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Ofisa elimu wa mkoa, Nestory Mloka alitoa taarifa hiyo juzi katika kikao cha elimu kilichoitishwa kwa ajili ya kuchambua matokeo ya mtihani wa darasa la saba na kuwapangia shule wahitimu waliofaulu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Mabalozi wa nyumba 10 hawajui kusoma’

IMEELEZWA kuwa mabalozi wa nyumba 10 wanaochaguliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawajui kusoma wala kuandika hali inayorudisha nyuma maendeleo ya eneo husika. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, mjini Dodoma...

 

10 years ago

Habarileo

22.4% Tanzania bara na 15.8% Z’bar hawajui kusoma

KWA mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, takwimu zinaonesha kuwa watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea wasiojua kusoma na kuandika ni asilimia 22.4 Tanzania bara na asilimia 15.8 Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 9,000 Karagwe hawajui kusoma

ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wilayani Karagwe hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu. Hali hiyo imebainika kutokana na utafiti uliofanywa na halmashauri ya wilaya hiyo mwaka jana. Ofisa Elimu Shule za Msingi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania milioni 14 hawajui kusoma, kuandika?

Wiki iliyopita tulichapisha habari ya kushtusha kwamba Watanzania milioni 14 hawajui kusoma wala kuandika. Ni habari ya kushtusha kwa sababu idadi hiyo ya wananchi mbumbumbu ni kubwa mno, kwa maana kwamba ni sawa na asilimia 33 ya Watanzania wote ambao ni milioni 44.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 430 hawajui kusoma wala kuandika

>Imebainika kuwa wanafunzi 427, hawajui kusoma, kuhesabu wala kuandika katika shule mbili za msingi wilayani Rorya, mkoani Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto wengi hawajui kusoma kuandika — Utafiti

ASILIMIA 61 ya watoto walio na umri wa chini ya miaka tisa hawawezi kusoma Kiswahili, Kiingereza na kufanya hesabu za kuzidisha huku wanafunzi wa shule binafsi wakionekana kufanya vizuri katika...

 

10 years ago

Habarileo

Wasiojua kusoma,kuandika kutoenda darasa la tatu.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim MajaliwaKATIKA kuhakikisha inaondoa kabisa tatizo la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini, Serikali imefanya mabadiliko ambapo kuanzia sasa mtoto wa darasa la pili hawezi kuruhusiwa kuingia darasa la tatu kama hajui kusoma, kuandika na kuhesabu ili kuondoa tatizo la watoto wanaomaliza shule ya msingi wakiwa hawajui kusoma.

 

10 years ago

Michuzi

WASICHANA WAHAMASISHWA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI NA UFUNDI ARUSHA

Mkuu wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC)Dk Richard Masika akizungumza kwenye tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na serikali ya Ubalozi wa Italia.  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na Maji Taka jiji la Arusha (Auwsa) akiwahamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi na Ufundi hadi kufikia hatua za juu,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha ATC ,Dk Richard Masika na Mwakilishi wa Ubalozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani