WASICHANA WAHAMASISHWA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI NA UFUNDI ARUSHA
Mkuu wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC)Dk Richard Masika akizungumza kwenye tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na serikali ya Ubalozi wa Italia. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na Maji Taka jiji la Arusha (Auwsa) akiwahamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi na Ufundi hadi kufikia hatua za juu,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha ATC ,Dk Richard Masika na Mwakilishi wa Ubalozi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Mar
Kinana awashauri wanafunzi kusoma masomo ya sayansi
WANAFUNZI nchini wameshauriwa kusoma masomo ya sayansi ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuajiriwa na taasisi za ndani na nje ya nchi kwa urahisi.
11 years ago
Dewji Blog03 May
Dkt. Kone awahimiza Wanafunzi kusoma masomo ya Sayansi
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (mei mosi),yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa namfua mjini Singida (01/5/2014).Maadhimisho ya mwaka huu kwa mkoa wa Singida yalihudhuriwa na watumishi wa umma na wananchi wachache ukilinganisha na miaka iliyopita.Kushoto ni mratibu wa RAAWU mkoa wa Singida na mwenyekiti wa kilele cha maadhimisho ya sherehe ya siku kuu ya wafanyakazi duniani (Mei mosi mwaka huu).
Na...
11 years ago
Habarileo27 May
Wasichana nchini kuendelea kufadhiliwa masomo ya sayansi
SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike, wanaosoma masomo ya sayansi katika ngazi ya uzamili na uzamivu.
5 years ago
MichuziCHUO KIKUU MZUMBE WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE NA WANAFUNZI, WASICHANA WAASWA KUSOMA MASOMO YANAYO TUMIA RASILIMALI ZAIDI
CHUO kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam wamesheherekea siku ya Mwanamke Dunia kwa Kuzungumza yapasayo mtoto wa kike na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Hananasif jijini Dar es Salaam leo.
Wanafunzi hao wameaswa kusoma masomo ambayo hayatumii watu wengi na kusoma masomo ambayo yanatumia rasilimali ili iwe rahisi kuajiliwa na kujiajili wenyewe.
Hayo ameyasema Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dkt. Godberther Kinyondo jijini Dar es Salaam leo wakati wa...
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Wanafunzi waaswa kusoma sayansi
Na Patricia Kimelemeta, Muleba
WANAFUNZI wametakiwa kupenda kusoma masomo ya sayansi waweze kupata fursa ya ajira wanapomaliza masomo yao, jambo ambalo linaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alikuwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyakatanga wilayani Muleba wakati wa kukabidhi kompyuta zitakazotumika kwa ajili ya masomo ya sayansi.
Alisema hatua hiyo itawasaidia kuingia kwenye soko la ushindani wa...
11 years ago
Mwananchi03 Jun
LIlian: Sikuwasikiliza wazazi waliponizuia kusoma sayansi
10 years ago
Habarileo12 Mar
Tunu Pinda na rai ya watoto wa kike kusoma sayansi
MKE wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Tunu Pinda, ametoa rai kwa watoto wa kike nchini kuthubutu kusoma masomo ya sayansi kwa sababu wanaweza.
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Barnabas, Mc Pilipili kuhimiza wasichana wapende ufundi
Asifiwe George na Zamda Biwi (RCT)
TAMASHA la Binti Thamani linalotarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es Salaam, litanogeshwa na burudani kutoka kwa mwimbaji na mpiga gitaa, Elias Barnaba (Barnaba), bendi ya Classic na mchekeshaji mahiri, Mc Pilipili.
Mkurugenzi wa Don Bosco, Celestine Kharkongor, alisema tamasha hilo lililoandaliwa na Don Bosco litawaunganisha vijana wa kike zaidi ya 1,000 kutoka shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam likiwa na lengo...
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Wakoleza juhudi kushawishi wasichana kusomea ufundi