Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakoleza juhudi kushawishi wasichana kusomea ufundi

Kwa muda mrefu kumekuwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, asasi zisizo za kiraia na za dini kuhakikisha mtoto wa kike anapata fursa ya kupata elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Barnabas, Mc Pilipili kuhimiza wasichana wapende ufundi

Barnaba akitumbuizaAsifiwe George na Zamda Biwi (RCT)

TAMASHA la Binti Thamani linalotarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es Salaam, litanogeshwa na burudani kutoka kwa mwimbaji na mpiga gitaa, Elias Barnaba (Barnaba), bendi ya Classic na mchekeshaji mahiri, Mc Pilipili.

Mkurugenzi wa Don Bosco, Celestine Kharkongor, alisema tamasha hilo lililoandaliwa na Don Bosco litawaunganisha vijana wa kike zaidi ya 1,000 kutoka shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam likiwa na lengo...

 

10 years ago

Michuzi

WASICHANA WAHAMASISHWA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI NA UFUNDI ARUSHA

Mkuu wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC)Dk Richard Masika akizungumza kwenye tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na serikali ya Ubalozi wa Italia.  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na Maji Taka jiji la Arusha (Auwsa) akiwahamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi na Ufundi hadi kufikia hatua za juu,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha ATC ,Dk Richard Masika na Mwakilishi wa Ubalozi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI NDALICHAKO AAHIDI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WABUNGE UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI WASICHANA JIJINI DODOMA.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule maalum ya Sekondari ya wasichana inayojengwa katika Kata ya Kikombo wilayani Chamwino, Mkoani Dodoma na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Profesa Ndalichako ametoa ahadi hiyo alipotembelea shule hiyo akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ili kujionea maendeleo ya ujenzi huo ambapo amesema Wizara itatoa mchango...

 

11 years ago

Mwananchi

Msekwa, Kisumo wakoleza moto

Wakati mjadala wa uteuzi wa mawaziri ukiendelea kupamba moto nchini, makada wakongwe wa CCM, Pius Msekwa na Peter Kisumo wamesema Rais Jakaya Kikwete ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na habanwi na chama, wala mtu yeyote.

 

10 years ago

Habarileo

Mwigulu na Wassira wakoleza mbio za Urais

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitangaza nia ya kuomba kuchaguliwa na CCM kugombea urais mwaka huu.MAKADA wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba na Stephen Wassira wametangaza rasmi nia yao ya kutaka kuwania kupitishwa na chama hicho, kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Wageni wakoleza ufahari Simba, Yanga

 Usajili wa wachezaji wa kigeni kwa klabu za Simba na Yanga ambao kwa msimu huu unatumia zaidi ya Sh400 milioni kwa mishahara ya wachezaji hao, umegeuka zaidi kuwa chanzo cha mabishano, ufahari miongoni mwa mashabiki wa klabu hizo.

 

9 years ago

Michuzi

Waraghabishi wakoleza kasi ya mabadiliko wilayani Kishapu

 Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa limekamilika kutokana na michango yao ya fedha na nguvu kazi. 
Na Krantz Mwantepele ,Kishapu 
Mabadiliko katika jamii yoyote kwa kiasi kikubwa huchangiwa na ongezeo la mahitaji ya binadamu katika mambo mbalimbali. Kwamba, kadri dunia inavyopitia mabadiliko, kadiri ile ile changamoto, mahitaji na huduma katika jamii husika huongezeka.
Ili kufikia...

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi kushawishi wagombea yapingwa

Matukio ya kuibuka makundi ya kijamii kuwashawishi makada wa CCM watangaze nia ya kuwania urais Oktoba mwaka huu, yameibua mjadala miongoni mwa wasomi na wanasiasa wengi wakipinga mbinu hiyo na kushauri wagombea waachwe waamue bila kushinikizwa.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unazijua mbinu za kushawishi?

Je katika maisha yako ya kila siku huwa unafanikiwa kumshawishi mtu kufanya jambo fulani? Linaweza kuwa jambo dogo tu kama vile kumshawishi mtu akuazime kalamu yake uandikie kwa sababu ni nzuri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani