Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waraghabishi wakoleza kasi ya mabadiliko wilayani Kishapu

 Watendaji wa Kituo cha Maendeleo cha Jamii ya Uchunga wilayani Kishapu wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi mbele ya jengo la kituo hicho likiwa limekamilika kutokana na michango yao ya fedha na nguvu kazi. 
Na Krantz Mwantepele ,Kishapu 
Mabadiliko katika jamii yoyote kwa kiasi kikubwa huchangiwa na ongezeo la mahitaji ya binadamu katika mambo mbalimbali. Kwamba, kadri dunia inavyopitia mabadiliko, kadiri ile ile changamoto, mahitaji na huduma katika jamii husika huongezeka.
Ili kufikia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

5 years ago

Michuzi

DC TALABA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI KISHAPU


Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Nyabaganga Talaba akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga yaliyofanyika leo Ijumaa Machi 6,2020 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwigumbi,kijiji cha Mwigumbi kata ya Mondo  yakiongozwa na Kauli ya “Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya sasa na ya baadae”. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Nyabaganga Talaba akiwasihi wanafunzi kuzingatia masomo yao kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda avutiwa na kasi ya mabadiliko SUA

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amevutiwa na kasi ya mabadiliko katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na hasa uanzishwaji wa kozi mpya zinazolenga kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agri-processing).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AVUTIWA NA KASI YA MABADILIKO SOKOINE

*Maprofesa waomba kuongezewa muda wa kustaafu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema amevutiwa na kasi ya mabadiliko katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na hasa uanzishwaji wa kozi mpya zinazolenga uongezaji thamani wa mazao ya kilimo (Agri-processing).
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Oktoba 9, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya SUA mara baada ya kutembelea chuo hicho na kukagua utekelezaji wa mradi wa Sayansi na Teknolojia ya...

 

9 years ago

Habarileo

Ataka kasi ya mabadiliko kwa maofisa wa jeshi TMA

MKUU wa vikosi vilivyo chini ya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi wa Taifa (JWTZ), Meja Jenerali, Issa Nassoro amewataka maofisa wa jeshi katika Chuo cha Kijeshi Monduli (TMA) kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia na mawasiliano duniani kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku.

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA JAMII YA WAMAASAI WILAYANI HAI YAPIGA MAENDELEO YA KASI

 Siku maalumu ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza kwa watoto wa jamii ya Kimaasai iliyopo katika kijiji cha Sanya Stesheni wilayani Hai ya The O'Brien School for the Maasai.  Pichani Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akihutubia wazazi,wanafunzi na wageni waalikwa katika siku ya shule ya The O'Brien School for the Maasai.  Sehemu ya wageni kutoka nchini Marekani waliohudhuria sherehe za siku ya shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza ya O'Brien ya Hai  Diwani wa kata ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

TIGO yazindua mnara wa kasi yenye 3G Namanga, Wilayani Longido

1

Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya kasi ya 3G katika mnara wa Tigo mpakani Namanga, mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini David Charles na Mwenyekiti wa Kijiji cha Namanga Mheshimiwa William Kikois (kushoto).

2

Mhandisi wa Kanda wa Kaskazini kutoka Tigo Judika Anosisye (kulia) akimuonyesha kifaa cha dish ya 3G (hakipo pichani) kilichofungwa juu ya mnara a Tigo iliyopo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete

9151

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).

258

Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).

Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia

Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani