WAZIRI MKUU AVUTIWA NA KASI YA MABADILIKO SOKOINE
*Maprofesa waomba kuongezewa muda wa kustaafu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema amevutiwa na kasi ya mabadiliko katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na hasa uanzishwaji wa kozi mpya zinazolenga uongezaji thamani wa mazao ya kilimo (Agri-processing).
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Oktoba 9, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya SUA mara baada ya kutembelea chuo hicho na kukagua utekelezaji wa mradi wa Sayansi na Teknolojia ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Oct
Pinda avutiwa na kasi ya mabadiliko SUA
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amevutiwa na kasi ya mabadiliko katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na hasa uanzishwaji wa kozi mpya zinazolenga kuongeza thamani ya mazao ya kilimo (Agri-processing).
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AVUTIWA NA SHAMBA LA KAHAWA SONGEA
Amesema katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi saba, eneo kubwa la shamba limepandwa miche ya kahawa na mingine imezaa na imeshavunwa ikilinganishwa na wakati alipofika shambani hapo Julai 2013 na kutembelea tu kitalu cha miche ya zao hilo.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumatatu, Februari 2, 2015)...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEA BANDA LA PSPF,AVUTIWA NA NAMNA WATU WALIVYOHAMASIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Kikwete akabidhi ofisi, avutiwa na kasi ya Magufuli
5 years ago
MichuziMIAKA 36 BILA WAZIRI MKUU SHUJAA EDWARD MORINGE SOKOINE
NI MIAKA 36 sasa tangu atangulie mbele ya haki mwanamapinduzi, mzalendo, shujaa Edward Moringe Sokoine Waziri Mkuu wa pili kwa Tanzania ambaye ameshikilia madaraka hayo kwa nyakati mbili tofauti kuanzia mwaka 1977 hadi 1980 na mwishoni mwa mwaka 1983 hadi mauti yalipomkuta 1984 kwa ajali ya gari pale Mvomero katika kijiji Dakawa Wami au kwa sasa Dakawa Sokoine.
Edward Moringe Sokoine alizaliwa tarehe 01, Agosti 1938 na kufariki tarehe 12, Aprili 1984, anakumbukwa na...
9 years ago
MichuziMAGUFULI AZURU KABULI LA WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli (wa pili kushoto),akiwa ameambatana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni ya CCM,wakishiriki sala ya pamoja ya kumuombea...
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Waziri mkuu wa Ugiriki aahidi mabadiliko
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waziri Mkuu aagiza kasi ukusanyaji mapato
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza halmashauri za wilaya, manispaa na majiji nchini, kuongeza kasi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, hatua itakayosaidia kuboresha huduma za afya na kuharakisha shughuli mbalimbali za maendeleo.
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA KASI YA UJENZI MRADI MKUBWA WA UMEME WA JULIUS NYERERE WA MW 2115
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Mei 14, 2020, baada ya kufanya ziara kwenye eneo la mradi unaotarajiwa kuzalisha jumla ya Megawati 2115“ utakapokamilika 2022.
Waziri Mkuu ambaye alifuatana na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo mhandisi Zena Said watendaji wa...