Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA KASI YA UJENZI MRADI MKUBWA WA UMEME WA JULIUS NYERERE WA MW 2115

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa ameridhishwa na hatua mbalimbali za ujenzi wa Mradi mkubwa wa Kufua Umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Mei 14, 2020, baada ya kufanya ziara kwenye eneo la mradi unaotarajiwa kuzalisha jumla ya Megawati 2115“ utakapokamilika 2022.
Waziri Mkuu ambaye alifuatana na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo mhandisi Zena Said watendaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KALEMANI AFANYA ZIARA MRADI WA KUFUA UMEME WA JULIUS NYERERE MW 2115

Na Farida Saidy MorogoroWAZIRI wa Nishati Dkt Medard Kalemani amefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa bwawa la kufua umeme wa JULIUS NYERERE MW 2115 ambapo amekagua maeneo mbalimbali katika mradi huo na kuridhishwa na kazi inayofanywa na mkandarasi kwa hatua aliyofikia. 
Aidha Dkt Kalemani amemtaka mkandarasi wa mradi huo kuhakikisha anakarabati barabara zote za nje na ndani ya mradi ambazo zinatumika kupitisha mizigo inayoenda kwenye mradi,sambamba na kumtaka mkandarasi huyo kumaliza kazi...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YARIDHISHWA NA KASI UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE

Waziri wa Nishati Dkt Medadi Kalemani akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kikao na kamati ya Bunge ya Bajeti Mokoani Morogoro Leo March 6,2020.

…………………………………………………………………Na Farida Said, Morogoro

Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepewa wasilisho juu ya maendeleo ya utekelezaji mradi Julius Nyerere (Mw 2115).

Wasilisho hilo limetolewa Mkoani Morogoro kwenye ukumbi wa bwalo la JKT Umwema na kuhudhuriwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,...

 

11 years ago

Michuzi

mwandani wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere (New Terminal III Project)

Hii ni mojawapo ya kazi za MICHUZI MEDIA GROUP. Wasiliana nasi ukihitaji huduma kama hii kwa kampuni ama taasisi yako...Bofya hapo "Contact us" kwa mawasiliano na huduma zenye ubora wa kimataifa.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KUZALISHA UMEME KINYEREZI III

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), (katikati) akiwa na ujumbe wa kampuni ya Shangai Electic Power ya nchini China inayokusudia kujenga Mradi wa Uzalishaji umeme wa Kinyerezi III, walipokutana ofisini kwake kuzungumza masuala ya uwekezaji katika mradi huo, tarehe 17 Aprili 2015, (kushoto) ni Makamu wa Rais wa kampuni hiyo Bw. Guo Baohong.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Kaimu Mhandisi Mkazi, Injinia Lutengano Mwandambo, wakati akikagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha Megawati 2,115, unaojengwa na kampuni ya Yapi Merkezi, May 14, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)










Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati Dkt. Medad Kalemani, wakati alipokagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda

 Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AFURAHISHWA NA UJENZI WA SEKONDARI YA WASICHANA WILAYANI CHAMWINO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndungai akitoa ufafanuzi juu ya maendeleo ya ujenzi wa shule maalum ya wasichana inayojengwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.Muonekano wa baadhi ya majengo ya shule ya sekondari maalum ya wasichana inayojengwa wabunge wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chamwino Jijini Dodoma
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kuunga mkono juhudi za wabunge katika ujenzi wa shule...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi mkubwa wa umeme Dar kukamilika mwakani

MRADI mkubwa wa megawati 80 kwa ajili ya kuboresha umeme katikati ya Jiji la Dar es Salaam unatarajia kukamilika Agosti mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani