Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnabas, Mc Pilipili kuhimiza wasichana wapende ufundi

Barnaba akitumbuizaAsifiwe George na Zamda Biwi (RCT)

TAMASHA la Binti Thamani linalotarajiwa kufanyika leo katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es Salaam, litanogeshwa na burudani kutoka kwa mwimbaji na mpiga gitaa, Elias Barnaba (Barnaba), bendi ya Classic na mchekeshaji mahiri, Mc Pilipili.

Mkurugenzi wa Don Bosco, Celestine Kharkongor, alisema tamasha hilo lililoandaliwa na Don Bosco litawaunganisha vijana wa kike zaidi ya 1,000 kutoka shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam likiwa na lengo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakoleza juhudi kushawishi wasichana kusomea ufundi

Kwa muda mrefu kumekuwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, asasi zisizo za kiraia na za dini kuhakikisha mtoto wa kike anapata fursa ya kupata elimu.

 

10 years ago

Michuzi

WASICHANA WAHAMASISHWA KUSOMA MASOMO YA SAYANSI NA UFUNDI ARUSHA

Mkuu wa Chuo cha Ufundi cha Arusha(ATC)Dk Richard Masika akizungumza kwenye tamasha la kuwahamasisha wasichana wanaosoma Shule za Sekondari kusoma masoma ya Sayansi na Ufundi inayofadhiliwa na serikali pamoja na serikali ya Ubalozi wa Italia.  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji Safi na Maji Taka jiji la Arusha (Auwsa) akiwahamasisha wasichana kusoma masomo ya Sayansi na Ufundi hadi kufikia hatua za juu,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha ATC ,Dk Richard Masika na Mwakilishi wa Ubalozi...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU EMMA BARNABAS ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI KATA YA KIPAWA

 Kada wa chama cha mapinduzi Emmanuel Barnabas Maro anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar akionesha fomu alizokabidhiwa leo na Katibu wa CCM wa kata ya Kipawa Amina Sebo hayupo pichani.

 

11 years ago

Michuzi

mjue James Hadley Chase, mwandishi wa riwaya za kusisimua aliyefanya wengi wapende kusoma vitabu

Na Sultani Kipingo


Wengi tumesoma  vitabu vya James Hadley Chase,  mwandishi wa riwaya za kusisimua  maarufu sana wa Uingereza, hasa wakati tukipambana na kujua lugha ya Kiingereza wakati wa shule kidato cha kwanza hadi cha nne, na hata high school.Nadhani kwa hili hata Profesa Mbele ataniunga mkono ninaposema kuwa utamaduni wa kupenda kusoma huanzia kwenye kuwepo kwa vitabu vya kusisimua kama vya Chase. Na wengi tuliua ndege wawili kwa jiwe moja – yaani kupenda kusoma na pia kujifunza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii kuhimiza amani

WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarabu, maigizo na tamthilia, wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na Kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge  Maalum la Katiba kwa lengo la...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodaboda Kahama kuhimiza tohara

Zaidi ya waendesha bodaboda 200 watatumika katika kampeni ya kitaifa ya tohara ya mwanaume mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Pilipili huchangia maisha marefu

Utafiti umeonyesha ulaji wa pilipili husaidia kuimarisha afya na kurefusha maisha ya binadamu.

 

10 years ago

GPL

MC PILIPILI ATINGA GLOBAL TV ONLINE, AFANYA MAHOJIANO

Emmanuel Mathias 'MC Pilipili' (kulia) akifanyiwa mahojiano ndani ya studio za Global TV Online leo. Pembeni ni Mtangazaji wa Global TV Online, Pamella Daffa 'Pam Daffa'. MC Pilipili akijibu moja ya swali aliloulizwa na Pam D.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani